Duuuh utauliwa mkuu shauri yako mke wa mtu ni sumu watu usema ivyo
Sivibaya asilani nyuki kufa asalini nafikiri hujakutana nao hayo maneno ya wahenga.
Duuuh utauliwa mkuu shauri yako mke wa mtu ni sumu watu usema ivyo
Hahaha maneno ya wahenga tenaSivibaya asilani nyuki kufa asalini nafikiri hujakutana nao hayo maneno ya wahenga.
Lakini inategemea unaweza kwenda kumfumania jamaa alafu ukaambulia kipigo wewe mkeo akakudharau kwa lingine pia unapigwa mbele ya mali yakoMke wa mtu ni sumu,subiri jamaa aje aku_amber rutty,utakuja kukumbuka comment yangu..
Ni kweli maana ananiambia toka aolewe ajawai kuchepuka hii ni mara ya lwanza kwanguAchana naye taratibu bila fujo yaani kata mawasiliano naye taratibu, kwa mfano usiku wasiliana naye mara 2 kwa wiki, baadae mara 1 kwa wiki baadae mara 0 kwa wiki, akilazimisha mblock kila mahali au ubadilishe namba na mtaa.
Angalizo: Huyo mwanamke siyo mzoefu wa uchepukaji kwahiyo yeye au wewe kukamatwa ni rahisi mno, kimbia.