Nifanye nini iliniweze kurudisha mkopo na riba

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,829
1,296
Wana jamvi hoja yangu inafanana na Pearl lakini tofauti yangu ni kuwa mm nimepata mkopo wa 7m with interest ya 18 % kwa miezi 12 na natikiwa kuwa nimerudisha hicho kiasi plus interest.

@Babalao popote ulipo nitakupigia na pia nahitaji kupata nakala ya kitabu chako
 
Kabla ya kukujibu..... wewe ulikopa kwa ajili ya shughuri gani..???
 
huo mkopo mbona ni kimeo sana, sasa dhamana uliweka nini?,
maana kurudisha more than 500000Tsh a month is not a joke
 
Hakuna kitu kibaya na cha hatari kama kuchukua mkopo bila kuwa na plan nao! Thats just waffling!....
 
Mh ndani ya mwaka mmoja 7m duh na interest 18%, mkuu hiyo bizness ndo unaanza au? au ilikuwepo unataka kuiendeleza?
 
Kwanza jina lako limekaa vibaya.

Pili unakopa bila kujua unakopa kwa ajili ya nini, hiki ni kihoja.

Tatu, ulikopa kiasi hicho kwa riba hiyo halafu unaomba ushauri, mhh hii kali.

Kwa kukusaidia, kabla ya kuamua kukopa inabidi uwe umeangalia alternative ways of rising capital. Ulichotakiwa kufanya ni kuandaa Business Plan, Halafu unaangalia cash flow, ndipo unapoamua kukopa na kwa riba inayolipika. Vinginevyo, pole sana kwa kuingia choo cha kike kama wewe ni mwanaume na pia cha kiume kama wewe ni wa kike.
 
Pole sana NGALIKIHINJA, nakupa pole kwa sababu umekulupukia kitu usichokijua,WANZUNGU WANASEMA 'think before you rip' maisha ni mipango, unatakiwa kupanga kwanza kabla ujapata. swari wewe ulikopa ili ufanyie nini? tusikulaumu sana bado ujapotea, je hizo pesa unazo au umekwisha mega? kama zipo zote peleka bank kwanza halafu tafuta biashara unayoiweza fanyabiashara, biashara zipo nyingi: mfano
-Unaweza kufungua duka
vyakura,jumla na reja reja
_ unaweza kufunua buther
- Mashine za kusaga and so on . KUWAMJASILIAMALI
 
HIVI ULIMAANISHA NGALIKIHINJA AU MASIKINI_JEURI....???? Maana mimi SIJAKOPA............ HEBU EDIT MAELEZO YAKO
 
hope kabla ya mkopo ulijua nn ulichotaka kufanya na ishu yako ni tofauti na pearl kwani yy anayo cash ya kwake si mkopo
 
Kabla ya kukujibu..... wewe ulikopa kwa ajili ya shughuri gani..???

Nilikuwa nimepata nafasi ya stationery eneo la chuo ambalo mpaka sasa naendelea kufuatilia na hapo kabla nilikuwa na endesha stationery kwenye jengo amabalo mwenye amelibomoa. Na maombi ya mkopo niliyafanya wakati niko bado kwenye biashara na umekuja kukubaliwa hivi punde
 
Nakushauri uendeleee na stationary hapo chuo maana kuanzisha shughuri nyingine ndani ya timeframe ya 1 year........... UTALOST...........kwanza steshenare chuo inalipa......nakumbuka miaka ya mwishoni mwa 1999 pale karibu na hall five kuna mdada alikuwa anajifungia kupima fotokopi madesa hadi saa tisa usiku......... hiyo itakulipa.
 
Hakuna kitu kibaya na cha hatari kama kuchukua mkopo bila kuwa na plan nao! Thats just waffling!....

I intended to boost my stationery bizness; lakini kutokana kusua sua kwa nafasi ndo nataka kuzungusha kwingine.
 
Kwanza jina lako limekaa vibaya.

:confused: Hii inatoka wapi Mkaa; Jina ni jina tu tembelea topic inayozungumzia majina utaelewa kwaninin nalitumia!

Pili unakopa bila kujua unakopa kwa ajili ya nini, hiki ni kihoja.
Tatu, ulikopa kiasi hicho kwa riba hiyo halafu unaomba ushauri, mhh hii kali.

Samahani sikutanabahisha kabla; ila nilikuwa narun staionery ambayo kwa sasa imesimama kusubiri ujenzi wa eneo jipya la biashara. Sasa Mkopo ndo unaingia; nirudishe?

Kwa kukusaidia, kabla ya kuamua kukopa inabidi uwe umeangalia alternative ways of rising capital. Ulichotakiwa kufanya ni kuandaa Business Plan, Halafu unaangalia cash flow, ndipo unapoamua kukopa na kwa riba inayolipika. Vinginevyo, pole sana kwa kuingia choo cha kike kama wewe ni mwanaume na pia cha kiume kama wewe ni wa kike.

Asante kwa ushauri wako pia!
 
7m mkopo...ni hela kiduchu huwezi kufanya la maana hasa kama ndio unaanza moja...na kwa sababu hauna plan yeyote...warudishie tu hela yao kabla ya interest haijafanya mambo yake...
 
Nakushauri uendeleee na stationary hapo chuo maana kuanzisha shughuri nyingine ndani ya timeframe ya 1 year........... UTALOST...........kwanza steshenare chuo inalipa......nakumbuka miaka ya mwishoni mwa 1999 pale karibu na hall five kuna mdada alikuwa anajifungia kupima fotokopi madesa hadi saa tisa usiku......... hiyo itakulipa.

kama nilivyosema chuo mchakato wa nafasi unaendelea; bado sijaipata na huenda ikakamilika kwenye mwezi wa tisa kwani ndio wanajenga nami mkopo unaingia this March. Mara ya kwanza niliahidiwa kupatiwa nafasi zilizokuwepo lakini imeshindikana kwa kuwa ombi langu lilitanguliwa na wengine
 
7m mkopo...ni hela kiduchu huwezi kufanya la maana hasa kama ndio unaanza moja...na kwa sababu hauna plan yeyote...warudishie tu hela yao kabla ya interest haijafanya mambo yake...

Ndio uwezo ambao taasisi inayonikopesha iliniona ninao
 
Back
Top Bottom