Nifanye nini ili niwe rijali hata nikifikia miaka 80?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,728
155,403
Kuna baadhi ya wanaume hufika menopozi wakiwa na miaka 40 na kuendelea.
Lakini kuna vibabu vina zaidi ya miaka 80 zinaoa na vinazaa.
Je na mimi nifanye kipi ili niendelee kufaidi tunda hadi uzeeni?
 
Acha kuangalia picha za ngono mkuu. Zinamaliza sana uhai
 
Miaka 40? Ndio maana wamasai wako busy sana na dawa za kuongeza nguvu au? Hv hili tatizo limekuwa kubwa kiivyo?
 
Workhard ,mazoezi na pia funguza ku du mara nyingi, inaweza kuwa 4times per month kama umeoa na kama hujaoa mara moja kwa mwaka!
 
Workhard ,mazoezi na pia Punguza ku du mara nyingi, inaweza kuwa 4times per month kama umeoa na kama hujaoa mara moja kwa mwaka!
 
piga zoezi mkuu..kula vyakula bora kama ugali dona...mboga za majani ziliwe chuku chuku...acha bia...acha kula red meat...usisahau kujenga uhusiano wako na muumba wako..
 
Kuna baadhi ya wanaume hufika menopozi wakiwa na miaka 40 na kuendelea.
Lakini kuna vibabu vina zaidi ya miaka 80 zinaoa na vinazaa.
Je na mimi nifanye kipi ili niendelee kufaidi tunda hadi uzeeni?
Mkuu,
Menopause ni kwa wanawake tu bana, and it has got something about ceasation in seeing Menstrual Periods!
Au umeitumia kiitifaki zaidi!!
 
How aging can affect fertility and virility in men.

While women experience a sudden cessation of fertility with the onset of menopause, men generally don't experience a significant change in fertility as they age.However, recent studies show that as men age, their reproductive abilities do decline.

It is true that men produce sperm throughout their lives, but there is a measurable decrease in the concentration, count and motility in the sperms produced after men reach the age of twenty-five.
 
jamani yaan sipati picha babu ana kigoli amejaa uzito na mjukuu wa babu hivyohivyo,hivi unadhani ukifika hiyo miaka utakuwa na mawazo hayohayo kweli ?
 
Menopause ni kwa Mwanamke, Mwanaume hana hitimisho sema anakuwa amepungukiw nguvu tu.. Lakn mbegu zipo pale pale na anaweza kuzaa mpaka anakufa.
 
Kuna baadhi ya wanaume hufika menopozi wakiwa na miaka 40 na kuendelea.
Lakini kuna vibabu vina zaidi ya miaka 80 zinaoa na vinazaa.
Je na mimi nifanye kipi ili niendelee kufaidi tunda hadi uzeeni?
Mkuu, kwanza menopouse inawahusu dada zetu tu. Pili, hata hao wanawake waliofikia huko, bado wanakuwa wako active kingono. Kwa lugha nyengine, hakuna kikomo cha umri kwa wanawake na wanaume kinachowazuwia wasiwe wachangamkiaji wa hii kitu. Sasa ikiwa wewe au yeyote awaye yupo kwenye 40's na mtaimbo umelala, nashauri haraka waone wataalamu, isijekuwa tatizo ni kinyume cha huo urijali.
 
How aging can affect fertility and virility in men.

While women experience a sudden cessation of fertility with the onset of menopause, men generally don't experience a significant change in fertility as they age.However, recent studies show that as men age, their reproductive abilities do decline.

It is true that men produce sperm throughout their lives, but there is a measurable decrease in the concentration, count and motility in the sperms produced after men reach the age of twenty-five.

Ukiwa katika umri huo wala hutakuwa una mawazo kama hayo tena maana mwili nao utakuwa umechoka, zaidi zaidi utakuwa unawaza ni lini utakufa.
 
Back
Top Bottom