Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,284
Leo jioni katika mdahalo uliorushwa na itv kwa kweli nimevutiwa sana na profesa Kabudi,sio kwamba sijavutiwa na wengine hapana watu wamefanya presentations zao kwakujiamini na kwa uhakika wote walikuwa wanavutia.
Kilichonivutia kwa Prof. Kabudi hasa ni jinsi alivokuwa ana present mada yake, hata kama mtu ni mgumu kiasi gani lazima umuelewa tu alijitaidi kufafanua na kuongea katika lugha ya picha na lugha nyepesi sana.
Kitu kingine kilichonivutia ni kujua vitu vingi.Mada yake ilikuwa inausiana na mambo ya Katiba ila nmependa jinsi alivyokuwa aki conect fields tofauti tofauti katika presentation yake,kagusia mambo ya biology,physikia,mambo ya uchumi,geographia historia,na mambo mengine mengi yani mpaka unajisahau kama anaemsikiliza ni mwanasheria.
Utafauti wake na wazungumzaji wengine ni akujikita katika sheria tu na alihakikisha hatoki nje ya mada,wadau nifanyeje ili kumaster mambo mengi kama huyu mzee?
Je, ni kusoma sana vitabu?
Karibuni wadau.