Nifanye nini ili niwe kama Profesa Paramagamba Kabudi.?

Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
5,936
Points
2,000
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
5,936 2,000
Leo jioni katika mdahalo uliorushwa na itv kwa kweli nimevutiwa sana na profesa Kabudi,sio kwamba sijavutiwa na wengine hapana watu wamefanya presentations zao kwakujiamini na kwa uhakika wote walikuwa wanavutia.

Kilichonivutia kwa Prof. Kabudi hasa ni jinsi alivokuwa ana present mada yake, hata kama mtu ni mgumu kiasi gani lazima umuelewa tu alijitaidi kufafanua na kuongea katika lugha ya picha na lugha nyepesi sana.

Kitu kingine kilichonivutia ni kujua vitu vingi.Mada yake ilikuwa inausiana na mambo ya Katiba ila nmependa jinsi alivyokuwa aki conect fields tofauti tofauti katika presentation yake,kagusia mambo ya biology,physikia,mambo ya uchumi,geographia historia,na mambo mengine mengi yani mpaka unajisahau kama anaemsikiliza ni mwanasheria.

Utafauti wake na wazungumzaji wengine ni akujikita katika sheria tu na alihakikisha hatoki nje ya mada,wadau nifanyeje ili kumaster mambo mengi kama huyu mzee?

Je, ni kusoma sana vitabu?

Karibuni wadau.
 
nyumba kubwa

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
10,313
Points
2,000
nyumba kubwa

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
10,313 2,000
Soma sana vitabu na fuatilia taharifa za kimataifa...exposure ndio nini? Tumia Google vizuri...
 
ruby garnet

ruby garnet

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2017
Messages
2,041
Points
2,000
ruby garnet

ruby garnet

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2017
2,041 2,000
Mzee kaniprove wrong,kumbe kuna kitu alikua anakitafuta
Vipi presentation yake bungeni kweye bageti yake pamoja siku yake ya kuapishwa akiwa waziri wa mambo ya inje .
 
I

Ikulumaliyawananch

Senior Member
Joined
Mar 14, 2018
Messages
142
Points
250
I

Ikulumaliyawananch

Senior Member
Joined Mar 14, 2018
142 250
Leo jioni katika mdahalo uliorushwa na itv kwa kweli nimevutiwa sana na pro. Kabudi,sio kwamba sijavutiwa na wengine hapana watu wamefanya presentations zao kwakujiamini na kwa uhakika wote walikua wanavutia.

kilicho nivutia kwa prof.kabudi hasa ni jinsi alivokua ana present mada yake, hata kama mtu ni mgumu kiasi gani lazima umuelewa tu alijitaidi kufafanua na kuongea ktka lugha ya picha na lugha nyepesi sana.

kitu kingine kilichonivutia ni kujua vitu vingi.Mada yake ilikua inausiana na mambo ya katiba ila nmependa jinsi alivyokua aki conect fields tofauti tofauti katika presentation yake,kagusia mambo ya biology,physikia,mambo ya uchumi,geographia historia,na mambo mengine mengi yani mpaka unajisahau kama anaemsikiliza ni mwanasheria.
utafauti wake na wazungumzaji wengine ni akujikita katika sheria tu na alihakikisha hatoki nje ya mada,wadau nifanyeje ili kumaster mambo mengi kama huyu mzee?je ni kusoma sana vitabu?karibuni wadau.
vuta bangi
 
Ebelui

Ebelui

Member
Joined
Aug 12, 2012
Messages
28
Points
225
Ebelui

Ebelui

Member
Joined Aug 12, 2012
28 225
Kula sana dagaa huwa wanaongeza hali ya kujuamini na kunyumbulisha mambo mengi kwa mkupuo.
 
John Joba

John Joba

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Messages
215
Points
250
John Joba

John Joba

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2018
215 250
Penda kusoma na kufatilia field tofauti tofauti na kutoa muda wako mwingi kwenye kusikiliza na kuchota kilicho kizuri na kuachana na makapi. Lakini Prof. Kabudi Ni mzuri pia kwenye maswala ya Imani na Dini, so jaribu pia kujiimarisha pia katika nyanja hii kwani kutakusaidia sana kwenye ishu ya kujiamini na kuwa msafi kiroho na kiakili. Karibu tena
 
Kishimbe wa Kishimbe

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Messages
2,667
Points
2,000
Kishimbe wa Kishimbe

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2013
2,667 2,000
Leo jioni katika mdahalo uliorushwa na itv kwa kweli nimevutiwa sana na profesa Kabudi,sio kwamba sijavutiwa na wengine hapana watu wamefanya presentations zao kwakujiamini na kwa uhakika wote walikuwa wanavutia.

Kilichonivutia kwa Prof. Kabudi hasa ni jinsi alivokuwa ana present mada yake, hata kama mtu ni mgumu kiasi gani lazima umuelewa tu alijitaidi kufafanua na kuongea katika lugha ya picha na lugha nyepesi sana.

Kitu kingine kilichonivutia ni kujua vitu vingi.Mada yake ilikuwa inausiana na mambo ya Katiba ila nmependa jinsi alivyokuwa aki conect fields tofauti tofauti katika presentation yake,kagusia mambo ya biology,physikia,mambo ya uchumi,geographia historia,na mambo mengine mengi yani mpaka unajisahau kama anaemsikiliza ni mwanasheria.

Utafauti wake na wazungumzaji wengine ni akujikita katika sheria tu na alihakikisha hatoki nje ya mada,wadau nifanyeje ili kumaster mambo mengi kama huyu mzee?

Je, ni kusoma sana vitabu?

Karibuni wadau.
Kwakweli wakati huo hata Mimi alinivutia kiasi cha kumuona 'PRESIDENTIAL MATERIAL', lakini kwa kauli zake za hivi karibuni ........ DUH! 🤔🤔🤔🤔🤔🤔😀!
 
M

Mr ceragem

Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
96
Points
95
M

Mr ceragem

Member
Joined Feb 22, 2015
96 95
Leo jioni katika mdahalo uliorushwa na itv kwa kweli nimevutiwa sana na profesa Kabudi,sio kwamba sijavutiwa na wengine hapana watu wamefanya presentations zao kwakujiamini na kwa uhakika wote walikuwa wanavutia.

Kilichonivutia kwa Prof. Kabudi hasa ni jinsi alivokuwa ana present mada yake, hata kama mtu ni mgumu kiasi gani lazima umuelewa tu alijitaidi kufafanua na kuongea katika lugha ya picha na lugha nyepesi sana.

Kitu kingine kilichonivutia ni kujua vitu vingi.Mada yake ilikuwa inausiana na mambo ya Katiba ila nmependa jinsi alivyokuwa aki conect fields tofauti tofauti katika presentation yake,kagusia mambo ya biology,physikia,mambo ya uchumi,geographia historia,na mambo mengine mengi yani mpaka unajisahau kama anaemsikiliza ni mwanasheria.

Utafauti wake na wazungumzaji wengine ni akujikita katika sheria tu na alihakikisha hatoki nje ya mada,wadau nifanyeje ili kumaster mambo mengi kama huyu mzee?

Je, ni kusoma sana vitabu?

Karibuni wadau.
je bado unahisi huyu jamaa anafaa kuwa role model wako au unajutia hata uzi huu ulioanziasha miaka hiyo? kiukweli watu wanabadilika sana hasa pale wanapopata vinafasi, uwezo, nguvu na madaraka na kawaida sana kwa mwanadamu kuwa mnafiki kwa muda ambao hawezi na hana lolote mbele ya jamii utahisi huyu mtu ni mwerevu na ana busara za kutosha sasa ngoja apate hayo mambo manne nafasi, uwezo, nguvu na madaraka ndio utajua kumbe unafiki ndio pekee ulikuwa unamstahi kuonekana binadamu mbele ya watu
 
Forum statistics

Threads 1,315,672
Members 505,292
Posts 31,866,345
Top