Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 408
Habari zenu wapendwa.
Bila kupoteza muda naomba ushauri wenu humu ndani.
Tatizo nililo nalo wakati najifungua mtoto wangu wa kwanza niliumwa uchungu mkali sna kwa muda mrefu kama siku 2 hivi bila kupumzika wala kukata mpaka nikawekewa drip ya uchungu, na baadae njia ikafunguka nikajifungua vizuri tu, ila sasa mtoto alitoka akiwa na kilo 4 na alinichana sana kiasi kwamba nilishonwa nyuzi za kutosha, halafu ndio mimba Yangu ya kwanza.
1) Sasa hivi ni mjamzito tena, naomba ushauri nifanye nn ili nisiumwe kwa muda mrefu na uchungu.
2)Nifanye nini ili nisichanike wakati wa kujifungua.
Nawasilisha..