UZZIMMA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 410
- 477
Japo sasa elimu yangu ni ndogo (kidato cha nne, ila naendelea na masomo). Na malengo yangu nije kuwa mtu mashuhuli, kitaifa na hata kimataifa. Ila kikwazo kikubwa ni hii lugha ya kiingereza. Natamani kuzungumza na kuandika lugha ya kiingereza kwa ufasaha zaidi, ila bado. Japo ufaulu wangu wa CSEE ni mzuri kiasi, ila kukariri kumechangia.
Nakosa kujua mengi kwa ajili ya lugha. Napenda kusoma makala, vitabu na mambo mbalimbali kuongeza maarifa. Ila najikuta naishia kusoma maandishi ya Kiswahili tu. Na nikithubutu kusoma maandishi ya kiingereza, sipati hata dhamira ya mwandishi.
Wanajamvi; nini nifanye ili niweze kuongea kiingereza zaidi ya mzungu? Naombeni ushauri na mawazo yenu, ili nifikie malengo yangu. Ahsanteni!