Nifanye nini ili nijue kusudi la maisha yangu(nilichoumbiwa kufanya)?

lelulelu

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
401
366
Habarini za siku wakubwa,naomba kufahamu nini nifanye ilo nijue kusudi la maisha yangu wakuu?
Kwa lugha nyingine nifanye nini ili nijue kwamba mimi ninauwezo wa kufanya vitu fulani kwa usahihi zaidi?

Watu wengi wakisema makusudio yao ya kuwa duniani ni kuwa mainjinia wakubwa,wengine madaktari,wengine watengeneza madaww ya kutibu n.k

Lakini mimi hapa hadi leo hii sijui kusudi la maisha yangu ni lipi.

Nafanyeje kujua kusudi la maisha yangu?
 
Hata hao waliokuambia wamekuja duniani kuwa madokta, mainjinia bado wapo wrong hizo ni nyenzo tu za kukusaidia kufikia lengo la kuumbwa hivyo hata wewe unaweza ukaamua uwe mchoma mkaa kama nyenzo yako ya kutafutia rizik ili ufikie lengo lako la kuumbwa

Tumeumbwa ili tuje tumuabudu alietuumba
 
Sijui pia ila mi nakushairi jikite kwenye kusaka doh mkuu.

Hizi mambo bna mnafanyaga sana mkiwaskiliza motivesheno spika, na kuna jamaa yangu nae alikua ananmbia sijui kajua kusudi lake ba blah blah ka izo ila sasa ukijua hilo kusudi na halikuingizii kipayo ni useless.

Jitathmini unachoweza kufanya kwa ufanisi, jiongezee ujuzi kwa kusoma vitabu na makala mbalimbali kuhusu fani husika. Kwishney hutawaza mambo ya kusudi hayo.
 
Habarini za siku wakubwa,naomba kufahamu nini nifanye ilo nijue kusudi la maisha yangu wakuu?
Kwa lugha nyingine nifanye nini ili nijue kwamba mimi ninauwezo wa kufanya vitu fulani kwa usahihi zaidi?

Watu wengi wakisema makusudio yao ya kuwa duniani ni kuwa mainjinia wakubwa,wengine madaktari,wengine watengeneza madaww ya kutibu n.k

Lakini mimi hapa hadi leo hii sijui kusudi la maisha yangu ni lipi.

Nafanyeje kujua kusudi la maisha yangu?
Focus, focus, focus, focus.
Unataka kuwa Tajir na kazi hutaki hata kulima bustani hutaki KISA una kadegree kako kamoja ati na wewe ni msomi?????
Focus mwisho wa siku utaenda kwa waganga
 
Habarini za siku wakubwa,naomba kufahamu nini nifanye ilo nijue kusudi la maisha yangu wakuu?
Kwa lugha nyingine nifanye nini ili nijue kwamba mimi ninauwezo wa kufanya vitu fulani kwa usahihi zaidi?

Watu wengi wakisema makusudio yao ya kuwa duniani ni kuwa mainjinia wakubwa,wengine madaktari,wengine watengeneza madaww ya kutibu n.k

Lakini mimi hapa hadi leo hii sijui kusudi la maisha yangu ni lipi.

Nafanyeje kujua kusudi la maisha yangu?

Unapenda kufanya vitu gani, kuangalia, kusoma na kusikiliza program za aina gani? hobbies, interest zako ni zipi?
Mkuu kiukweli haswa mimi kuhusu vitu vya kufanya mbali na vibarua vyangu sipendelei kufanya vitu vingine,kuhusu kusoma na kuskiliza mara kadhaa nimekuwa nikipenda sana kusikiliza mambo haya ya saikoloji
 
"Soma Sana vitabu" alisikika motiveshono spika
JamiiForums-186584946.jpg
 
Habarini za siku wakubwa,naomba kufahamu nini nifanye ilo nijue kusudi la maisha yangu wakuu?
Kwa lugha nyingine nifanye nini ili nijue kwamba mimi ninauwezo wa kufanya vitu fulani kwa usahihi zaidi?

Watu wengi wakisema makusudio yao ya kuwa duniani ni kuwa mainjinia wakubwa,wengine madaktari,wengine watengeneza madaww ya kutibu n.k

Lakini mimi hapa hadi leo hii sijui kusudi la maisha yangu ni lipi.

Nafanyeje kujua kusudi la maisha yangu?
90% ya Watu hawajui makusudio yao kwahyo usiwe mnyonge ndugu tupo pamoja hata mm hapa nacomment sihui kusudio langu! Cha msingi sasa hivi wewe fanya kazi yoyote ile ya halali ya kukuingizia kipato, ukishaingiza kipato cha kutosha sasa ndo utachagua mwenyewe kusudio lolote lile utafanya! Achana na motivesheni sipika eti folo yua pasheni mama£ folo money kwanza ukishaipata ndo utatafuta passion
 
Kusudio lako hapa duniani ni kuishi. Basi. Hayo mengine ni mengineyo. Usijipe stress bure
 
Post hi ndio lilikuwa kusudio la mleta mada.

Bila shaka umenielewa, no more place to hide.
 
Back
Top Bottom