Nifanye nini ili nijue kusudi la maisha yangu(nilichoumbiwa kufanya)?

Maisha hayana maana ni useless,hata waliokuleta duniani hawajui walikuleta kwa lengo gani.Hakuna aliechagua kuzaliwa.
 
Hatukuchagua kuzaliwa, lakini tunaweza kuchagua lifestyle, malengo,mipango.

Kama unaona maisha hayana, yape maana, useless, make it useful.

Hapo namaanisha una uhuru wa kuyapa maana yoyote na kuishi utakavyo kwa malengo na mipango yako, jinsi itakavyokupendeza usifuate mkumbo, au kumfuruhisha mtu yoyote.

Maana inaweza kupatikana kwenye familia, jamii, Nchi, malengo yako, project, elimu, nature.

Kuishi bila malengo,kusudio, mipango yoyote maishani ni very stressful.
 
Upo sahihi,ni kuhangaika huko huko mara uangaike na familia,elimu,malengo unajaribu kila kitu.Yote hiyo ni kutafuta maana ambayo haipo!
 
Kuhangaika, kuchacharika, kupambana, kutafuta dili, mishe mishe yanakuja ya package ya kila binadamu.

Pia magonjwa, vifo, kutajirika, kufilisika, hivi havizuiliki wala kuepukika. Vikija binadamu hatakiwi kukata tamaa au to give up. Ni vitu ambavyo kila binadamu atavipitia kwa kiwango fulani.

Muhimu kuwa na malengo, mipango, mikakati, kusudio. Sababu za kukufanya uamke asuhuhi na mapema.

Kitu cha muhimu sana ni ku-enjoy the process ya kufikia malengo, mipango, kusudio lako. Happiness / Sucess / life is not destination but the journey, way of life.

Ukiwa unapanda mlima inabidi ufurahie ile process ya yote ya kujitahidi kufika kileleni. Japo utatokwa majasho, utachoka, kuvuta pumzi itakuwa shida. Ukifika kileleni inabidi ujipongeze. Lakini utakaa kwa dakika chache sana na kuanza kushuka.

Au ukiwa unafanya mapenzi ya patner wako, husubiri mpaka kutoa bao uanze kufurahia mapenzi, ila process ni process yote kutongoza, dates, foreplay, kisses kila kitu baada ya hapo unahudumia familia watoto for life. Bao (kileleni) ni seconds kadhaa tu.

Kupanda na kushuka ndio itachukua muda wako mwingi duniani. Inabidi kufurahia na kushukuru kwa vyote.

Nyuki wanaamka kila siku kuchacharika kutengeneza asali, sisimizi kutafuta riziki, kujenga makazi yao kulea watoto, vipepeo na ndege kupeleka mbegu sehemu mbalimbali hivyo kutusaidia kuotesha mimea, ecologia ya dunia.

Maisha bila malengo, mipango, kazi, kusudio, mikakati yatakuwa magumu zaidi, stressful kama meli isiyo na rada kila wimbi, dhoruba itakupeleka huku na kule, au kukuzungusha hapo hapo, it is not funny or enjoyable.

Binadamu asili yake inamlazimisha kupanga,kupiga hatua, kujifunza,kurahisisha maisha yake looking up for something, working towards some goal.
 
Pole sana...

Kama hujui wewe endelea hivyo hivyo kutokujua usiumize kichwa sana maisha yenyewe mafupi...
 
Onyesha upendo kwa viumbe vyote utaona nuru na maana ya maisha mtafute mungu kwa kuishi katika misingi ya aliyo amrisha na uache yote aliyoyakataza.
Kuwa na imani
 
Maisha hayana maana ni useless,hata waliokuleta duniani hawajui walikuleta kwa lengo gani.Hakuna aliechagua kuzaliwa.

Unaweza kuyafanya maisha yako yawe useful badala ya kuwa useless. Meaningful badala ya kuwa meaningless.

Wengi wamejua kusudio la maisha yao kupitia maswali kama haya.
 
Habarini za siku wakubwa,naomba kufahamu nini nifanye ilo nijue kusudi la maisha yangu wakuu?
Kwa lugha nyingine nifanye nini ili nijue kwamba mimi ninauwezo wa kufanya vitu fulani kwa usahihi zaidi?

Watu wengi wakisema makusudio yao ya kuwa duniani ni kuwa mainjinia wakubwa,wengine madaktari,wengine watengeneza madaww ya kutibu n.k

Lakini mimi hapa hadi leo hii sijui kusudi la maisha yangu ni lipi.

Nafanyeje kujua kusudi la maisha yangu?

kunatofauti kati ya kusudi la maisha na kipawa, sasa wewe unataka nini kujua kusudi lako la maisha au kipawa chako?
 
Kuhangaika, kuchacharika, kupambana, kutafuta dili, mishe mishe yanakuja ya package ya kila binadamu.

Pia magonjwa, vifo, kutajirika, kufilisika, hivi havizuiliki wala kuepukika. Vikija binadamu hatakiwi kukata tamaa au to give up. Ni vitu ambavyo kila binadamu atavipitia kwa kiwango fulani.

Muhimu kuwa na malengo, mipango, mikakati, kusudio. Sababu za kukufanya uamke asuhuhi na mapema.

Kitu cha muhimu sana ni ku-enjoy the process ya kufikia malengo, mipango, kusudio lako. Happiness / Sucess / life is not destination but the journey, way of life.

Ukiwa unapanda mlima inabidi ufurahie ile process ya yote ya kujitahidi kufika kileleni. Japo utatokwa majasho, utachoka, kuvuta pumzi itakuwa shida. Ukifika kileleni inabidi ujipongeze. Lakini utakaa kwa dakika chache sana na kuanza kushuka.

Au ukiwa unafanya mapenzi ya patner wako, husubiri mpaka kutoa bao uanze kufurahia mapenzi, ila process ni process yote kutongoza, dates, foreplay, kisses kila kitu baada ya hapo unahudumia familia watoto for life. Bao (kileleni) ni seconds kadhaa tu.

Kupanda na kushuka ndio itachukua muda wako mwingi duniani. Inabidi kufurahia na kushukuru kwa vyote.

Nyuki wanaamka kila siku kuchacharika kutengeneza asali, sisimizi kutafuta riziki, kujenga makazi yao kulea watoto, vipepeo na ndege kupeleka mbegu sehemu mbalimbali hivyo kutusaidia kuotesha mimea, ecologia ya dunia.

Maisha bila malengo, mipango, kazi, kusudio, mikakati yatakuwa magumu zaidi, stressful kama meli isiyo na rada kila wimbi, dhoruba itakupeleka huku na kule, au kukuzungusha hapo hapo, it is not funny or enjoyable.

Binadamu asili yake inamlazimisha kupanga,kupiga hatua, kujifunza,kurahisisha maisha yake looking up for something, working towards some goal.
Kile kitu ambacho ukifanya unafanya kwa ustadi mzuri na ukiwa na amani ndo ulichoumbiwa icho
 
Back
Top Bottom