soskeneth
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 583
- 235
Why ??,vyama vya wafanyakaz n ulinzi ndugu,mfano kuna Chama cha wafanyakaz kinaitwa TUICO hiki Chama ni special aisee hawana Shida hawaIla CWT ya sasa ilivyo simshauri mwalimu kuwa mwanachama mkuu. Mimi ni mfanyakazi ila si mwanachama wa chama chochote cha wafanyakazi. Sioni tija.