Nifanye nini hii hali inanikera

cold water

Senior Member
Oct 6, 2021
174
616
Naomba kujua yani Mimi nikikaa kidogo tu mautando kwenye macho mda wote nijitoe ni hali ya mda mrefu sana inanichosha kujipikicha macho mda wote nitakuwa na shida ya macho au? Hii picha hapa chini sio Mimi Ila natolea mfano tu inavyokuwa .View attachment 1990799
 
Back
Top Bottom