Nifanye nini baada ya kupotelewa na nyaraka muhimu?

Ismo

Member
Apr 19, 2018
19
11
Salaam wanajamvi.
Juzi nilipokuwa kwenye bajaji nilipoteza kadi ya bank, ID ya kupigia kura, kitambulisho cha uraia na bima ya afya, tafadhalini sana kwa mwenye namna ya kunisaidia kupata access ya vitu hivyo au mbadala wake, please anisaidie maana am stuck.

@Nawasilisha
 
nenda polisi kachukue loss report then anza upya kufatilia kwenye hizo ofisi walizokupatia kila documents ulioitaja wao watakupa utaratibu mzuri kutokana na ofisi husika
 
nenda polisi kachukue loss report then anza upya kufatilia kwenye hizo ofisi walizokupatia kila documents ulioitaja wao watakupa utaratibu mzuri kutokana na ofisi husika
shukrani sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom