Nifanye kipi kati ya kuweka ya tiles, Aluminium windows na gypsum board?

Kayaula Musa

JF-Expert Member
Jan 2, 2020
552
1,000
Nakushauri weka nyavu tu uingie gpsum ukiweka zikichelewa kupata rangi baadae hazing'ai ukiweka madirisha kabla hujasikim nyumba baadae mavumbi yataharibu madirisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom