Nifanye kilimo/biashara gani kwenye haya mashamba?

ikigijo

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
1,821
1,874
Wakuu habari...
niende moja kwa moja kwenye mada...
nina shamba Bagamoyo kidomole ekari 10 ila lina magugu na hamna maji...
ninafikiria sijui nifanye kilimo gani/kitu gani ambacho hakitaweza kunichukulia hela nyingi...
Pili nina kiwanja Mlandizi eka 1 visiga vikuruti 5 km kutoka morogoro road,napo sijui nifanye nini juu ya hii Ardhi hakuna maji pia
Karibuni kwa mawazo Wakuu...
 
kama muhogo unakubali fanya majaribio, kisha tunaweza fanya Joint venture
 
Iv apo huwezi chimba kisma ukafanya drip irrigation siku za baadaye coz drip inabana matumizi ya maji
 
Ukichimba kisima lazima ujenge na kajumba ka mlinzii...kisima si chini ya mita 100-150 maji 6millions,kajumba 4millioni na choo.Total 10million uwe nayo Mkuu ili mtu aweze kukaa hapo.sasa na hela zetu za kubangaiza pia not sure na kile unachotaka kukilima kama kikatoka interms of growing and marketing...
 
Sawa father ..fanya kupanda muhogo ukishapata chenji fkiria kilimo cha kisasa Kwani si wa Tanzania bado tupo nyuma sana, maeneo tunayo yakutosha ila hatujiamini.sikumoja nakumbuka niliuzuria killfair hapa moshi % kubwa ya watu wanaofanya investment za maana ni watu wakutoka nje ya tanzania, watu kutoka India ndo wanawaza kuja kulima Tanzania acer za kutosha afu sio zakutegemea mvua anachimba visima anchukua kama acer 7000
 
Back
Top Bottom