NIFANYE KAUTAFITI KUHUSU HILI

NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,966
35,152
Nitajitahidi kufanya utafiti kama kweli maasi kama kuuna ovyo, walevi kupungua baa, nyumba za wageni kukosa wateja wa chapuchapu, vituo vya polisi kupungua wahalifu, kitimoto kukosa soko na mengineyo.

nitaleta mrejesho hapa hapa
 
Ukiwa utafiti wa mwezi mmoja nitaspeculate kuwa unacriticize mwenendo flani wa jamii ya watu.
 
Nitajitahidi kufanya utafiti katika kama kweli maasi kama kuuna ovyo, walevi kupungua baa, nyumba za wageni kukosa wateja wa chapuchapu, vituo vya polisi kupungua wahalifu, kitimoto kukosa soko na mengineyo.

nitaleta mrejesho hapa hapa
 
Back
Top Bottom