milion 20 vyumba 20? hauko serious mkuu.Milioni 20 jenga vyumba 20 vya kupangisha,
Chumba simple cha kupangisha mpaka kukamilika ujenzi ni 1mil × 20 = 20mil.
Ni chumba simple,
Ukihitaji vyumba classic vitapungua idadi.
Fundi ninaye.
nimejenga msingi tu ni zaidi ya 27m, mpaka sasa nimetumia 120m+ nyumba ndio nimepiga plasta,
hapa uangalizi ulikuwa wa hali ya juu, kama kuna wizi ni asilimia ndogo sana.
Huo ujenzi wa 20m kwa vyumba 20 ukoje?