Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 213
Habarini wadau msaada wenu jamani natumia mtandao wa Tigo tatizo linakuja pale ninapopokea Sms moja inajirudia hata mara 6 kwa mfano nimetumiwa Mamboo sms hiyo moja inajirudia mara 6 lkn inaingia mda tofauti nimejaribu ku disabled Broadcast sms lkn still tatizo bado Msaada!!!!:what::what: