Nifanyaje naona aibu, anamlazimisha mtoto wake aniite baba

Msaada wa haraka unahitajika wakuu, Nifanyaje kuzuia hii hali. Hapa nilipopanga kuna Mwanamke nilimkuta anaishi.

First time nilijua labda ni mwanafunzi maana umri wake unachezea 18~19 , Ila baada ya muda nilikuja gundua anamtoto umri unachezea kama mwaka na miezi 8.

Shida ilipoanzia kuna siku nilikuwa nje nafua yeye alikuwa amekaa na yule mtoto wake, siunajua tabia za watoto kakaropoka huku kanatembea kuja kwangu baba baba baba.

Yaani toka siku hiyo imekuwa ndio wimbo baba baba. Nikiwa naondoka anamwambia mwambie baba akulete zawadi, nikirudi jioni anamwambia kampokee baba kanakuja kugonga mlango baba baba yaani.

Fedhea kubwa inapokuja kuna wapangaji wengine wapo sasa ile nikiwa narudi kile kitoto kinakuja baba baba yaani nashindwa hata nijibu nini naishia tu kujichekesha kinafiki.

Hapa nilikuwa nawaza nimwambie amkataze yule mtoto naona haiwezekani, Au nijiegeshe tu kuwa baba hewa. Nahitaji ushauri wandugu natanguliza shukrani.

Kama hauna mahusiano Na huyo Mwanamke haina shida, make the baby happy!

Wote Ni wazazi wa watoto; kweli kuna watoto wanateseka Huku dunian!

Mungu akupe hekima na amsaidie huyo mtoto akue vyema Na Kwa Amani!
 
Weka mipaka kwa mama yake dogo ila kuhusu dogo mzoee tu wala sio ishu. Mi mtaani kuna watoto wawili wananiita baba na baba yao mzazi ananifahamu ila hana hata shida maana sina mazoea kivile na mke wake ni hao watoto tu wakija home nawaacha waangue matunda wakale.
 
Msaada wa haraka unahitajika wakuu, Nifanyaje kuzuia hii hali. Hapa nilipopanga kuna Mwanamke nilimkuta anaishi.

First time nilijua labda ni mwanafunzi maana umri wake unachezea 18~19 , Ila baada ya muda nilikuja gundua anamtoto umri unachezea kama mwaka na miezi 8.

Shida ilipoanzia kuna siku nilikuwa nje nafua yeye alikuwa amekaa na yule mtoto wake, siunajua tabia za watoto kakaropoka huku kanatembea kuja kwangu baba baba baba.

Yaani toka siku hiyo imekuwa ndio wimbo baba baba. Nikiwa naondoka anamwambia mwambie baba akulete zawadi, nikirudi jioni anamwambia kampokee baba kanakuja kugonga mlango baba baba yaani.

Fedhea kubwa inapokuja kuna wapangaji wengine wapo sasa ile nikiwa narudi kile kitoto kinakuja baba baba yaani nashindwa hata nijibu nini naishia tu kujichekesha kinafiki.

Hapa nilikuwa nawaza nimwambie amkataze yule mtoto naona haiwezekani, Au nijiegeshe tu kuwa baba hewa. Nahitaji ushauri wandugu natanguliza shukrani.

Mwambie akuite anko, itakuja kukuletea shida labda huyo manzi uwe unam mwagia moto
 
Unafeli sana
 
Yaani Kuna wengine wanaomba hat kuitwa ancle tu hawapo wee mtot kanakuita baba unaona nuksi ama hakika tumetofautiana mengi.

Mim nikiwa naishi mbeya pale kulikuwa na mpangaji Ana mtot wake mdg na hapo hapo jamaaa alimbebesha mimba na bwan. Wake Ni dereva bajaji huondoka alfjir na mm huwa naondka Kati ya saa mbili na saa Moja hvyo kila akiamka Yule mto anakuja kwangu kwa kusukuma mlango Hadi aingie ndani na kunii akooo akoo duh niliona noma San mnk hata kuvaa nashindwa naenda kuoga nakikuta kapo ndani na kametulia ili nimzoee tu mnk sas kumtoa nnje niliona noma.

Sas bas nikiwa na show show lzm atimbe. Apo ndani na kutulia tuli had mgeni kaniukiza huyu mwanao nn mbna kakuzoe hvyo ..hata mam ake ajali Wal nn anatukia zake tu Wal kuja kumchukuwa siku Moja nilikuwa na ngenya kweli nilisha mumpot mnayaki wangu nafika tu pale nashanga ananikimbilia kunilaki nilichokifanya baada tu ya kuingia ndani na mnyaki wangu nikakafungia mlango kaliendeleaa kulia Sana kwa kuwa nimemtoa nnje ili niwez kuchakata dah nilipata tabu mno mnk awezi Nipa break lzm aje na wakongezeka wakaungana na vitot vya majirani wengine kuwa kuja kwangu kuchezaa duh ...

Fumiliaa tu mkuu hakn nmna
 
Mimi kuna watoto wawili wananiita baba mmoja ana miaka 8 mwingine mitano. Huyo miaka mitano hata shule wakimuuliza jina la baba yake anataja jina langu. Nawapenda na nafeel bond kati yangu na wao kiasi nisipowaona wiki nawamiss sanaa. Mkuu haitakugharimu chochote kuitwa baba
 
Msaada wa haraka unahitajika wakuu, Nifanyaje kuzuia hii hali. Hapa nilipopanga kuna Mwanamke nilimkuta anaishi.

First time nilijua labda ni mwanafunzi maana umri wake unachezea 18~19 , Ila baada ya muda nilikuja gundua anamtoto umri unachezea kama mwaka na miezi 8.

Aiseh! Pia Mimi ishawahi nitokea ila yule mwanamke alikuwa mkubwa kidogo kwangu, alikuwa ana watoto 2 mmoja LA kwanza mwengine chekechea, siku moja nimeamka asubuhi na kibukta changu nawaza nikanunue vitafunwa wapi? Vile vitoto vikanisalilimia shikamo kaka, Mara mama MTU akasikia anavisema eti mnasalimiaje nyie! Eti Hugo baba yenu! Daah! Niliona aibu kinoma! Nikajikaza
Lakini nilihama badae maana hali ilizidi kuwa mbaya.

Nilikuwa naitwa usiku was manane eti nikarekebishe TV tu! Mara wakati mwengine ananigongea mlango! Nikasema dooh! Hapa sasa nitashindwa kuvumilia nikaamua kuondoka.. Afu sasa Bahati mbaya ama nzuri alikuwa na undugu na mnyumba! Na pia Jamaa ambae kàzaa nae namfahamu na alikuwa mumewe... Nika
 
Msaada wa haraka unahitajika wakuu, Nifanyaje kuzuia hii hali. Hapa nilipopanga kuna Mwanamke nilimkuta anaishi.

First time nilijua labda ni mwanafunzi maana umri wake unachezea 18~19 , Ila baada ya muda nilikuja gundua anamtoto umri unachezea kama mwaka na miezi 8.

Shida ilipoanzia kuna siku nilikuwa nje nafua yeye alikuwa amekaa na yule mtoto wake, siunajua tabia za watoto kakaropoka huku kanatembea kuja kwangu baba baba baba.

Yaani toka siku hiyo imekuwa ndio wimbo baba baba. Nikiwa naondoka anamwambia mwambie baba akulete zawadi, nikirudi jioni anamwambia kampokee baba kanakuja kugonga mlango baba baba yaani.

Fedhea kubwa inapokuja kuna wapangaji wengine wapo sasa ile nikiwa narudi kile kitoto kinakuja baba baba yaani nashindwa hata nijibu nini naishia tu kujichekesha kinafiki.

Hapa nilikuwa nawaza nimwambie amkataze yule mtoto naona haiwezekani, Au nijiegeshe tu kuwa baba hewa. Nahitaji ushauri wandugu natanguliza shukrani.

Aiseh! Pia Mimi ishawahi nitokea ila yule mwanamke alikuwa mkubwa kidogo kwangu, alikuwa ana watoto 2 mmoja LA kwanza mwengine chekechea, siku moja nimeamka asubuhi na kibukta changu nawaza nikanunue vitafunwa wapi? Vile vitoto vikanisalilimia shikamo kaka, Mara mama MTU akasikia anavisema eti mnasalimiaje nyie! Eti Hugo baba yenu! Daah! Niliona aibu kinoma! Nikajikaza
Lakini nilihama badae maana hali ilizidi kuwa mbaya..

Nilikuwa naitwa usiku was manane eti nikarekebishe TV tu! Mara wakati mwengine ananigongea mlango! Nikasema dooh! Hapa sasa nitashindwa kuvumilia nikaamua kuondoka.. Afu sasa Bahati mbaya ama nzuri alikuwa na undugu na mnyumba! Na pia Jamaa ambae kàzaa nae namfahamu na alikuwa mumewe... Nika
 
Bahati zinakuja kwa njia nyingi.

Umemkataa dogo, halafu na ph.D yako ukajakuwa prof wa majalalani, dogo katoboa(Rais), hajakusitiri?

Umemkataa dogo. Umepata binti, kaenda mkoani kusoma secondary. Kakutana na dogo, dogo hajamnyoosha?

Acceptance will manifest your better generation n future.
 
Msaada wa haraka unahitajika wakuu, Nifanyaje kuzuia hii hali. Hapa nilipopanga kuna Mwanamke nilimkuta anaishi.

First time nilijua labda ni mwanafunzi maana umri wake unachezea 18~19 , Ila baada ya muda nilikuja gundua anamtoto umri unachezea kama mwaka na miezi 8.

Shida ilipoanzia kuna siku nilikuwa nje nafua yeye alikuwa amekaa na yule mtoto wake, siunajua tabia za watoto kakaropoka huku kanatembea kuja kwangu baba baba baba.

Yaani toka siku hiyo imekuwa ndio wimbo baba baba. Nikiwa naondoka anamwambia mwambie baba akulete zawadi, nikirudi jioni anamwambia kampokee baba kanakuja kugonga mlango baba baba yaani.

Fedhea kubwa inapokuja kuna wapangaji wengine wapo sasa ile nikiwa narudi kile kitoto kinakuja baba baba yaani nashindwa hata nijibu nini naishia tu kujichekesha kinafiki.

Hapa nilikuwa nawaza nimwambie amkataze yule mtoto naona haiwezekani, Au nijiegeshe tu kuwa baba hewa. Nahitaji ushauri wandugu natanguliza shukrani.

Hiv kwel huu ni uzi wa kuleta JF?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom