Nifanyaje mtu anaponitukana kwenye simu?

lolypop

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,430
1,681
Wakuu msaada kuna mtu ananitukana kwenye simu na kosa silijui, nataka kumuadabisha
IMG_20190524_175953_219.jpg
Screenshot_20190524-164031.png
 
Mm mwenyewe kuna mtu nimemtukana mbaya sana kanishtaki kwa ma CEO -workers wanguuuuuu. Duh hawaamini kama mm nina maneno machafu kiasi kile
 
Christina Mbelwa ananini tena? Au ameachwa kwa mara ya 3.
Mzigua anabahati mbaya sijawahi ona
 
Achana naye hapo sio kosa kama angekufuata na kukutusi hapo sio tatizo mpotezee halafu usimjibu inatosha hiyo adhabu
 
Kama Wewe ni sababu ya hayo matusi vumilia, ndio kuvuna ulichopanda, wahenga walisema.

Kuna sehemu ume reply kwa kichecho ishara ya dharau kwa matusi yake.
Kuwa mpole endelea kucheka.
 
Fanya utaratibu umtrack kama yupo karibu mkatie rb mumkamate alafu apelekwe maakamani atabanwa na sheria za mitandao.
 
Kamchukulie RB huo ndio ushahidi. Akilala ndani ijumaa hadi jumatatu atapunguza matusi
Tatizo simfahamu na simu hapokei, japo nimemtishia nakupeleka polisi (kama mdau mmoja hapa alivyoshauri) naona kaacha
 
Kama Wewe ni sababu ya hayo matusi vumilia, ndio kuvuna ulichopanda, wahenga walisema.
Kuna sehemu ume reply kwa kichecho ishara ya dharau kwa matusi yake.
Kuwa mpole endelea kucheka.
Sifahamu chochote mkuu, katoka huko tu na matusi kibao
 
Back
Top Bottom