Sifahamu chochote mkuu, katoka huko tu na matusi kibaoKama Wewe ni sababu ya hayo matusi vumilia, ndio kuvuna ulichopanda, wahenga walisema.
Kuna sehemu ume reply kwa kichecho ishara ya dharau kwa matusi yake.
Kuwa mpole endelea kucheka.
Mm mwenyewe kuna mtu nimemtukana mbaya sana kanishtaki kwa ma CEO -workers wanguuuuuu. Duh hawaamini kama mm nina maneno machafu kiasi kile
Namba hio ndio ID kazi ndogo sana hioTatizo simfahamu na simu hapokei, japo nimemtishia nakupeleka polisi (kama mdau mmoja hapa alivyoshauri) naona kaacha