Nifanyaje kupata idadi na mahali ilipo listi ya mizani

mwima

Member
Nov 24, 2014
9
1
Habari jamani, hivi nifanyaje nikitaka kupata idadi na mahali ilipo listi za mizani ( weighbridges) ipatikanayo nchi za africa mashariki kwa kutumia mtandao, maana nimegoogle mpaka vidole vimeota sugu.
 
Back
Top Bottom