Nimetumiwa kitu kutumia USPS, lakini nimewahi kutumiwa vitu huko nyuma na havikufika.
Nimetumia tracking system ya USPS inaonyesha mzigo wangu uko in transit. Nimejaribu kupiga simu ya posta (ile liyoko katika website yao) 2112816 na 2118182 ili wanipe ushauri nini cha kufanya lakini hawapatikani, ya kwanza inaitwa bila majibu (kwa siku tatu sasa) na ya pili inasema kwa kizungu ‘the number are calling have been restricted to receive this calls''
Wadau kwenye mwenye ushauri wa nini nifanye kuhakikisha mzigo wangu hauchakachuliwi pale posta? Au kuna mwenye namba ya customer care au mtu yeyote wa posta anaeweza kunisaidia kuhakikisha mzigo wangu hauchakachuliwi.
Asante.