Nifanyaje kuachana na mwanamke aliye nipenda sana

Kwanza kijana hujakomaa kabisa kimahusiano,

Ili mwanaume ufurahie ndoa,
yapasa umpate mwanamke anayekupenda na-kukufeel kupita unavompenda wewe.

Sasa wewe unapendwa sana,
Mwanamke anainvest kwako (badala ya kukupiga wewe mizinga)

afu unaleta upuuz wa kitoto unaanza kuendeshwa na hisia.

Nikwambie kitu mkuu,
Linapofika Suala la kuoa mwanaume lazima uwe smart,

Ni lazima Umchague mwanamke smart,mtiifu atakayekufaa ukiwa huna hata Mia, atakayekufaa utakapokua umeumwa unajinyea apo kitandan.

Mwanamke atakayeyavumilia na kukuficha madhaifu yako.

Wee umepata mwanamke unaleta mbembwe,

NGOJA UJE UPATE SLAY QUEEN uje utie Akili sawasawa

Wewe ni mwanaume na nusu
 
hebu muombe namba kabisa tusipoteze hii chance bro
My sis...labda umuombe ww alafu unikabizi nimalize mchezo maana mi kanichomolea, kumbe ana kawivu wivu flan hivi juu ya manzi yake aisee haha
 
huyo mwanamke hawezi kupata mateso kwa ajili ya comment yangu anonymous....tayari kishajipa mateso huko aliko, yani mwanamke na akili timamu anawekeza kwa mwanaume????!!! shwaaaiiinnn!!!!
Achana na swala linaloitwa kupenda alafu ndio future soulmate wako Eve..
You can testify it coz naimani ulishawahi kupenda huko nyuma..
 
Usimwonee huruma kiumbe mwanamke linapokuja suala la mahusiano, yeye kila afanyacho kwako ni calculated fursa…. hata akilia machozi usijidanganye kuwa unapendwa kiivyo.

BTW, DeepPond umepanic sana.
 
Habari za muda huu ndugu zangu

Moja kwa moja acha niende kwenye mada nilikutana na binti mmoja mtandaoni tukaanzisha mahusiano huko baada ya mda kidogo tuliweza kukutana na kuendeleza mahusiano yetu.

Ila kadri muda ulivyozidi kwenda moyo wangu ulianza kutokumpenda tena, ila yeye ananipenda sana na anataka mpaka niongee na wazazi wake ila huwa nina mkwepa kwepa sana.

Nilikuwa naomba ushauri nifanyaje niweze kuachana nae kwa amani bila ugomvi kwamaana ama wekeza vitu vyake vingi sana juu yangu ila mimi simpendi tena

Ushauri hapo ndugu zangu
Muombe ule mtandao
 
Shida nini mkuu maana naona umeanza kukata tamaa baada ya kukutana naye kimwili je hajitumi kikamilifu kwa bed?
 
Back
Top Bottom