Nifanyaje ili nyonga za mke wangu zikaze

Compact

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Messages
3,957
Points
2,000

Compact

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2015
3,957 2,000
kama mnavyojua mke wangu ni mjamzito

asa nataka akienda kujifungua asijifungue kwa opresheni ajifungue ki njia ya kawaida
nimeona nimpe mazoezi nyonga zikaze
naofia asije fia leba
Mawazo huumba. Ukisoma kitabu cha 'The Secret' kilichoandikwa na Rhonda Bryne, utafahamu ya kuwa kile ukiwazacho ndicho hutokea. Ukifikiria hofu basi dunia inakupa sababu millioni za kuwa na hofu.

Kwa swala lako la Mkeo kufia 'labor' hebu yaondoe hayo mawazo. Tena kwenye ishu ambazo ni risky kama hizo. Ukiongezea na hila za shetani, basi hilo laweza kutokea.

Mfanyize mkeo mazoezi, afike hospital kwa ajili ya uangalizi maalum na hakika atajifungua vizuri.

Kila la kheri baba kijacho.
 

bato

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
3,207
Points
2,000

bato

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
3,207 2,000
Afanye kazi ndogo_ndogo,kutembea nk. Mazoezi mengine hutegemea umri wa mimba. Kupiga mshedede ni mazoezi matamu kwa kijacho,usisahau hilo....wanakuwa na ashki sana
 

Forum statistics

Threads 1,378,752
Members 525,185
Posts 33,723,329
Top