Nifanyaje ili niweze kuwa na sauti nyepesi?

nunu_tz

New Member
Feb 13, 2015
4
0
Jamani mi ni msichana lakini sauti yangu ni nzito saana kiasa kwamba hata nikiongea na simu mtu anaweza akafikiri kapokea mkaka naombeni mnisaidie nifanyaje niweze kulainisha sauti yangu.
 
Hilo Tatizo Lina muda gani? Tangu usichana wako au limekuja ukubwani? Sababu zipo nyingi Unaweza kuwa na matatizo ya homoni au kwa kidhungu wanasema hormonal dysfunction, kama Umepata tatizo hilo ukiwa na umri zaidi ya miaka 30+ inaweza kuwa menopause imeanza! Au hypothyroidism kwa uchunguzi zaidi nenda hospital, happy Valentine's Day.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom