Nifahamu kwa ufupi (Especially kwa wadada)

Mimi ni mrefu mweusi kiasi ,,nina kifua kiasi cha kuvutia ila sifanyagi mazoezi
Nina mwanya ,,macho yangu yamekaa kimapenzi mapenzi

Nina sauti nzito kiasi inavutia sana mademu
Kwa mawasiliano zaidi piga 0654254045.
Asante.
Dah... Wewe KE au ME?
 
Hii kweli ni alosto.. sijui ni alosto ya cocaine hii au mbandandu, maana kwa bangi hapana!! Dogo janja njoo uchukue 10000 ukatoe alosto yako.
 
Back
Top Bottom