Nifahamisheni

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Naomba kufahamishwa jambo moja, hivi hizi threads ambazo zimekuwa Moved, zinapelekwa wapi? Au ndo zimefutwa kisanii, maana kila tukizitafuta hatuzioni. Naomba mtuelekeze zimewekwa wapi ili tupate kuzisoma.
 
use search button utazipata....kama huzioni kabisa waulize mods
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom