Naomba kufahamishwa jambo moja, hivi hizi threads ambazo zimekuwa Moved, zinapelekwa wapi? Au ndo zimefutwa kisanii, maana kila tukizitafuta hatuzioni. Naomba mtuelekeze zimewekwa wapi ili tupate kuzisoma.