Mugare
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 668
- 842
Habari wanajamvi! naombeni mnisaidie umri wa jide maana huyu dada nilianza kumskia nikiwa na umri mdogo sana, mpaka sasa at the age of 30 bado yuko vile vile habadiliki, sana sana namuona anazidi tu kuwa mzuri. Nafatilia pia tuzo za EATV wasanii wanamkubali sana huyu dada na wengi wao wanadai pia walianxa kumskia wakiwa wadogo bado wanatembea na wazazi wao kwenda kwenye concert.
Ni hayo tu leaders....
Ni hayo tu leaders....