Niendelee kusubiri NACTE au niende private A-level?

789

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
262
203
Jamani nime apply Nacte [law] Lakin naona wanazingua lakini wAzo lililo nijia kwenda Advance(private) ila kikwazo matokeo
Kisw C
Engl C
Hist D
Geo D
Civ D
Bio D
Math f
Nisubili Nacte au niende privat
 
Chem C
Bios C
Kisw D
Math E
Geog E
Hist E
Phz D
Naweza pata private f5 kwa wasitan wangu wa credt hzo msaada jaman na utaratibu wake utakuaje ansanten
 
Sifa uwe na credit tatu mkuu wewe unazo mbili
 
Wewe unapungukiwa sifa.
Ili uweze kusajiliwa kwa masomo ya A' Level sharti uwe na principle pass tatu kwa kiwango cha daraja C.
Chakufanya ili upate sifa rudia mtihani wa kidato cha nne masomo matatu tofauti na kisw & Engl ili uwe na jumla ya credit 5 ambazo ni bora zaidi.
 
Jamani nime apply Nacte [law] Lakin naona wanazingua lakini wAzo lililo nijia kwenda Advance(private) ila kikwazo matokeo
Kisw C
Engl C
Hist D
Geo D
Civ D
Bio D
Math f
Nisubili Nacte au niende privat
Kwa ufaulu wako sijui kwa nini wakuzengue kusoma sheria kwa sababu sifa ya kusoma certificate in law ni kuwa na ufaulu wa D4 English ikiwemo.
 
Kwaiyo ni some sheria niachane na advance ?
 
Jamani nime apply Nacte [law] Lakin naona wanazingua lakini wAzo lililo nijia kwenda Advance(private) ila kikwazo matokeo
Kisw C
Engl C
Hist D
Geo D
Civ D
Bio D
Math f
Nisubili Nacte au niende privat
Ingekuwa vizuri kama ungeendelea na masomo ya advance so kama upo tayari na una nia ya kusoma basi Unaweza Nicheki 0656415981,bila Shaka nitakusaidia.
 
Je hapa VP wakuu naweza pata private
civics B
history C
Biology B
chemistry C
physics D
geography E
kiswahili E
English B
Mathematics F
 
Je hapa VP wakuu naweza pata private
civics B
history C
Biology B
chemistry C
physics D
geography E
kiswahili E
English B
Mathematics F
Ungekuwa mtoto wa mwanasiasa hapo ungesoma chochote unachokipenda ila kwa kuwa ni mtoto wa Zakayo kama mimi naona giza mbele yako.
Kama una pesa kasomee udaktari, unesi, ufamasia au maabara kwa ngazi ya cheti/astashahada
 
poa kk
 
Chem C
Bios C
Kisw D
Math E
Geog E
Hist E
Phz D
Naweza pata private f5 kwa wasitan wangu wa credt hzo msaada jaman na utaratibu wake utakuaje ansanten
mkuu nitafute kwa namba 0713 308 881 kwa ajili ya advance
 
Jamani nime apply Nacte [law] Lakin naona wanazingua lakini wAzo lililo nijia kwenda Advance(private) ila kikwazo matokeo
Kisw C
Engl C
Hist D
Geo D
Civ D
Bio D
Math f
Nisubili Nacte au niende privat
mkuu naomba unicheki 0713 308 881 kwa maelekezo zaidi 0713 308 881
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom