Nielewesheni

Mar 11, 2007
16
1
Jamani sijui nitakuwa nimeenda nje ya thread hii lakini naomba kujua kitu kimoja ambacho kimekuwa kikinitatiza sana ukienda kununua dawa katika duka la dawa hususani zile wanazoweka katika vi mfuko vya kaki au vya plastiki kama panadol unakuta baadhi ya wauzaji wameweka kijikaratasi kiichoandikwa maelekezo ya kutumia mfano 2 mara 3,

Sasa kile kikaratasi hakina madhara kwa mtumiaji au ule wino wa kalamu, mbona zamani walikuwa wakiandika kwa juu sasa iweje watuwekee kile kikaratasi ndani ya zile dawa au wanaona uvivu wa kuandika au huwa wanawaachia watu wasiojua sasa wanaandika vile ili wasije wapa wateja maelekezo ya uongo ,? Mi binafsi naona kinyaa kwa vile sijui maandalizi ya hivyo vikaratasi kama wanazingatia usafi pliz nisaidieni.
 
Pole Felister, kama mgonjwa au mteja unahaki ya kukataa kuchukua dawa ambazo unajua hutazitumia. Kuna mambo mengi ya kuangalia kuhusu ubora na utayarishaji wa dawa hasa hizi zinazotiwa kwenye vifuko.

1.Achilia mbali hiyo lebo wanayokuwekea, je vifuko vyenywe ni salama? vimetengenezwa wapi na katika mazingira gani?

2. ukija kwenye vifuko vile vya plastiki vyenye nembo ya MSD kuna wengine huwa wanavipuliza ili kuvifungua ,

3. Jinsi ya kuhesabu dawa, wengine wanahesabu kwa mikono, wengine kijiko kimoja kinachota dawa mbali mbali, kinahesabu septrine ambayo ni sulfa, halafu kinaenda kwenye digoxin na baadae kinaenda kwenye paracetamol.

3. Na bado utakuta kama wako wawili au watatu wanafunga dawa, hapo lazima kutakuwa na michapo ya hapa na pale, kumbuka wakati wanaongea kuna droplets zinaenda kwenye dawa na wengine sometimes huwa wanapiga chafya.

4.n.k
Hadi uje uzinunue wewe, bacteria, fungus, etc wameshagrow kiasi cha kutosha,
Hakikisha unanunua blistered/striped -tabs/caps, kama unawasi wasi.
 
Well said mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom