Nielewesheni kuhusu Crypotocurrency Tanzania International Ltd

nyambari

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
355
171
Salaam wanajamvi, ni matumaini yangu mko wazima wa afya mkiendelea na mihagaiko ya kila siku kwa ajili ya kujipatia mkate.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza ninaomba mwenye uelewa na hawa watu wa CRYPTOCURRENCY TANZANIA aweze kutumegea kidogo kuhusu ufanyaji wao wa kazi nimefuatilia kwenye mtandao wao ila sijaweza kupata taarifa ya kutosha.

Tafadhali mwenye uelewe kidogo na hiki kitu naomba tugawane maarifa.
Asanteni.
 
Nenda pale mwenge karibu na kanisa la kakobe shuka kituo cha lufungilo kuna jengo lime andikwa Tanzanite tower utaliona tuu ukifika ilo eneo ulizia apo reception uta fikishwa unapo pataka!!!
 
Kwa sasa sina uwezo wa kufika mahali hapo ndo maana nikaomba mwenye uelewe tugawane maarifa.
 
Nadhani ni kampuni inayojihusisha na crypto opportunities. I will be cautious though bout those opportunities
 
Salaam wanajamvi, ni matumaini yangu mko wazima wa afya mkiendelea na mihagaiko ya kila siku kwa ajili ya kujipatia mkate.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza ninaomba mwenye uelewa na hawa watu wa CRYPTOCURRENCY TANZANIA aweze kutumegea kidogo kuhusu ufanyaji wao wa kazi nimefuatilia kwenye mtandao wao ila sijaweza kupata taarifa ya kutosha.

Tafadhali mwenye uelewe kidogo na hiki kitu naomba tugawane maarifa.
Asanteni.

Mkuu umewatafuta kweli ukawakosa?

Au unataka kuleta tu maada humu ndani watu wawazodoe?

Na hivi humu ndani kila mtu ni mjuaji sana
 
Kwa sasa sina uwezo wa kufika mahali hapo ndo maana nikaomba mwenye uelewe tugawane maarifa.
Mimi nimesha kupa maelekezo sasa kipi apo umeshindwa kuki elewa nazan ulipo ona tangazo lao ama chochote kuhusu wao bas na mawasiliano wali weka otherwise una lako jambo

Back
Top Bottom