Nielewesheni Kuhusu 4G ya Voda!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Juzi nilimua kwenda Mlimani City kwenye Duka la Voda kwa ajiri ya Kuswap line yangu ya Voda kwenda kwenye 4G kama wao wanavovyesema! Lakini Before Nilisha enda K/koo pale Msimbazi kwenye Duka la Tigo niliswap line yangu kwenda 4G bila longolongo!

Pale Mlimani city nilifika kwa yule muhudumu wao alikuwa wakike akasema nipe simu yako nikampa,akasema nipe IMEI number ya simu yako nikampa! Alivyo angalia akasema Simu yako haina LTE! Nikamuuliza kivipi akasema hiyo simu yako haisupport 4G nikashangaa kidogo

Nikamwambia mbona line ya Tigo ipo humu na inasoma 4G na simu yangu nikiangalia inanionesha inasupport 4G? Akasema hiyo 4G ya tigo mnadanganyana hiyo siyo 4G! Nikasema mimi sijakuelewa kabisa akasema njoo uone akanionesha kwenye Computer Message from TCRA baada ya kuhakiki simu yangu kwa kuingiza IMEI number ikaleta ujumbe ule ule wa siku zote wa kuhakiko simu! Yaani ikaletea aina ya simu HTC M9 na ndio aina ya simu yangu lakini yule dada akasema eti niibadirishe before June simu yangu sio geunie! Tena kwa Dharau kabisaa! Nikasema huo si ujumbe wa kawaida tuu wa TCRA hauhusiani na 4G? Mbina hiyo june simu yangu haijazimwa sasa akasema using'ang'anie simu yako haisupport 4G,nikaamua kuondoka!

Sasa Najiuliza maswali haya naombeni mnisaidie

1.Je ni kweli HTC M9 haisupport 4G? Au ni 4G ya Voda tuu?

2.Na Je ule ujumbe Wa TCRA unahusika katika kujua kama simu inasupport 4G au Vipi?

3.IMEI number inahusika vipi katika 4G? Mbona tigo sikuombwa hata IMEI number zaidi ya namba yangu ya simu na wakabadirisha haraka?

Hili la voda wataalamu limekaaje
 
According to gsmarena.com simu yako inasupport 4G
ImageUploadedByJamiiForums1467539473.534268.jpg
 
4g ya voda na tigo ni bands tofauti inawezekana simu ikasuport 4g ya mtandao mmoja na kukataa ya mtandao mwengine. hio M9 yako ni ipi? nends setting halafu shuka chini hadi about angalia version yake ni ipi ili tujue band zake
 
Simu inaweza kua ina support LTE 4G ila je, bands wanazo offer service provider zinakua supported katika simu yako?

Kwa kuanza, tumtafute mjuvi atakaetuambia 4G LTE za voda na tigo zipo katika bands zipi?

cc Chief-Mkwawa
 
Kama imei namba za simu yako zinanzia 99 haiwezi kusapoti 4G ya voda. Una bahati ata hiyo 4G ya Tigo imekubali.
 
4g ya voda na tigo ni bands tofauti inawezekana simu ikasuport 4g ya mtandao mmoja na kukataa ya mtandao mwengine. hio M9 yako ni ipi? nends setting halafu shuka chini hadi about angalia version yake ni ipi ili tujue band zake
Mkuu kwani Voda wanatumia band gani? Kama sio 900, 1800? na specification ya simu ya jamaa inaonyesha kuwa band zote zipo...

Je IMEI si inatumika kuverify genuity ya simu tu....

Mi nadhani dada ni K.ILAZA tu na si vinginevyo...

Tigo wanatumia 725-925 means band ya 800....
 
hizo specs ukiziangalia zipo nyingi kuna band za EMEA (version ya Europe, middle east na Africa) zipo za T-mobile, At&T etc hivyo itategemea na yeye simu yake ni ipi

kuhusu kuangalia imei ni tatizo kwa kweli maana hata tigo wanawaambia watu kibao kuwa simu zao hazikubali 4g wakati uhalisia zinakubali.

dawa yao hawa ni kuwaambia tu nina modem ya 4g ye akusajilie line ipo nyumbani modem, kazi ya kuangalia kama band zinakubali au hazikubali ufanye mwenyewe na sio wao.

nafikiri Trainer wao ndio wanakuwa hawataki tabu wakachagua njia hio
 
Kwakweli huyo dada atakuwa kilaza hata htc one m9 haijui akaona utamuumbua ndomaana kakupeleka kwenye maswala ya Tcra kuwa simu yako ni feki ila hii mitandao yetu imekurupuka sana na 4G wakati hawajajipanga kuwaudumia wateja wake.
 
Wahudumu wengi wa Customer Care wa Mitandao Ni Kama Wapo Brain Washed kwenye Utaalamu wa Simu.. Wengi hawajui kitu...

Ila Unakuta Litoto linamiliki S6 sijui edge liulize hata Jinsi ya Kuweka Setting za Internet Linakuzungusha Wweeee
 
Kingine ni kuswap line, kuna tchnicality gani, kwa nini wanawaambia watu waswap line.?
 
4g ya voda na tigo ni bands tofauti inawezekana simu ikasuport 4g ya mtandao mmoja na kukataa ya mtandao mwengine. hio M9 yako ni ipi? nends setting halafu shuka chini hadi about angalia version yake ni ipi ili tujue band zake
b3dafb2f8b08237d8ff6c648ec4c8140.jpg
3c50d7166bc27e1f5cc2d99fcf64678a.jpg
 
Mkuu kwani Voda wanatumia band gani? Kama sio 900, 1800? na specification ya simu ya jamaa inaonyesha kuwa band zote zipo...

Je IMEI si inatumika kuverify genuity ya simu tu....

Mi nadhani dada ni K.ILAZA tu na si vinginevyo...

Tigo wanatumia 725-925 means band ya 800....
Hicho na mimi ndo nilicho hisi mkuu! Sasa ninatafuta line ya mtu alie swap kwenda 4G niiweke humu nione itasoma au haita soma
 
hizo specs ukiziangalia zipo nyingi kuna band za EMEA (version ya Europe, middle east na Africa) zipo za T-mobile, At&T etc hivyo itategemea na yeye simu yake ni ipi

kuhusu kuangalia imei ni tatizo kwa kweli maana hata tigo wanawaambia watu kibao kuwa simu zao hazikubali 4g wakati uhalisia zinakubali.

dawa yao hawa ni kuwaambia tu nina modem ya 4g ye akusajilie line ipo nyumbani modem, kazi ya kuangalia kama band zinakubali au hazikubali ufanye mwenyewe na sio wao.

nafikiri Trainer wao ndio wanakuwa hawataki tabu wakachagua njia hio
Nimekuelewa sanaa kaka!
 
Kwakweli huyo dada atakuwa ****** hata htc one m9 haijui akaona utamuumbua ndomaana kakupeleka kwenye maswala ya Tcra kuwa simu yako ni feki ila hii mitandao yetu imekurupuka sana na 4G wakati hawajajipanga kuwaudumia wateja wake.
Na wahudumu wengi hawana uelewa juu ya 4G kiukweli ni wachache sana ambao wanakuwa wanauelewa na 4G
 
Mimi natumia MI 4LTE nayo kwenye 4g ya tigo wanasema haisapoti bali ya voda ikakubali ma mpaka sasa tigo siitumii kwenye 4g kwa sababu hiyo. Ni kweli yawezekana band wanazotumia ni tofauti.
Wanachotakiwa kukifanya ni kuwezesha simu zote zikawa na uwezo huo kama ilivyo kwa 3g
 
Wale wahudumu waliopo pale wengine hawana ujuzi wa mambo ya IT hata kidogo wamepachikana ajirani tuu ndio maana anajibu hovyo hovyo lakini band 3 ni common sana kwenye simu nyingi zinazo support 4G tofauti na band 20
 
Back
Top Bottom