Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,401
- Thread starter
- #21
Wapi nimesema kuwa Rais anapaswa akutane na vyama vya siasa peke yake?Hutaki rais akutane na wanawake mnataka akutane na vyama vya siasa wakati demokrasia sio ya vyama vya siasa peke yao.
Siku ya ukimwi duniani Rais akaamua akutane na maiti za mochwari wa muhimbili kisha mimi nikapinga nitakuwa nazionea wivu maiti?Afu tuache kuwaonea wivu wanawake wakiwa wanaamua kukutana