Nieleweshe kuhusu Bixby.

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,111
2,377
Heshima na iwe kwako mwanajamiiforums, naomba unipe mawili matatu kuhusu huduma hii ya Bixby inayopatikana kwenye baadhi ya simu za Samsung maana ninayo kwenye simu yangu ila sijui matumizi yake.
Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni virtual assistant inakuwa inajifunza vitu unavyotafta application unazopenda kutumia, vitu unavyopenda kutafta na baadae inakuwa inakusaidia kufanyahivyo vitu haraka inajifunza tabia yako, miziki unayopenda mpaka misosi unayopenda hivyo inaweza kukuelekeza utaipata mgahawa gani, itakukumbusha appointments na mikutano n.k
 
Duh! Asante mkuu naanza kupata mwanga.
Ni virtual assistant inakuwa inajifunza vitu unavyotafta application unazopenda kutumia, vitu unavyopenda kutafta na baadae inakuwa inakusaidia kufanyahivyo vitu haraka inajifunza tabia yako, miziki unayopenda mpaka misosi unayopenda hivyo inaweza kukuelekeza utaipata mgahawa gani, itakukumbusha appointments na mikutano n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom