The Union Of Comoros Embassy of hawa jamaa wamehama piga namba za simu hizo hapo watakuelekezaNdugu naomba mnifahamishe ulipo huu ubalozi wa Comoro
hawa jamaa wamehamia mikocheni ukitokea kwa mwl Nyerere fuata barabara ya kwenda rose garden kabla hujafika TPDC unaingia kulia utakwenda moja kwa moja utakata kona ya kwanza kushoto utakwenda utakuta kuna kijumba cha walinzi utakipita kisha utakata kona ya pili kulia kunaitwa kwa mawaziriNdugu naomba mnifahamishe ulipo huu ubalozi wa Comoro
Nenda kama unaelekea posta ukifika kinyerezi kata kulia kama unaelekea Goba kwa mbele utakutana na barabara kubwa inayoelekea kinondoni Hananasif nyoosha nayo hadi ufike Kibada, ukifika kibada panda gari za feri na pale feri panda pantoni ukifika magogoni ulizia ubalozi wa Comoro utaelekezwa.
Pamoja sana mkuuhawa jamaa wamehamia mikocheni ukitokea kwa mwl Nyerere fuata barabara ya kwenda rose garden kabla hujafika TPDC unaingia kulia utakwenda moja kwa moja utakata kona ya kwanza kushoto utakwenda utakuta kuna kijumba cha walinzi utakipita kisha utakata kona ya pili kulia kunaitwa kwa mawaziri
us%$#ng%%e na utoto peleka fb au kwenye ma group yenu ya wasap humu kuna mpaka viongozi waandamiza wa nchi we unaleta ujinga mods yafungieni matoto kama hayaNenda kama unaelekea posta ukifika kinyerezi kata kulia kama unaelekea Goba kwa mbele utakutana na barabara kubwa inayoelekea kinondoni Hananasif nyoosha nayo hadi ufike Kibada, ukifika kibada panda gari za feri na pale feri panda pantoni ukifika magogoni ulizia ubalozi wa Comoro utaelekezwa.