nielekezeni jinsi ya kupata internet kwa kutumia receiver za madishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nielekezeni jinsi ya kupata internet kwa kutumia receiver za madishi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by steveachi, Jul 18, 2012.

 1. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,723
  Trophy Points: 280
  nasikia hiki kitu kinawezekana wazee,nafanyaje????,nijuzeni wataalamu
   
 2. alphoncetz

  alphoncetz JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Receiver ya Dishes gani?
  Kuna Dishes na receivers kwa ajili ya TV,
  Dishes na receivers kwa ajili ya Internet connectivity nk

  Labda fahamu tu kuwa:

  Huwezi kutumia Satellite receiver ya TV kupokea data service "yaani Internet"
  Likewise, huwezi kutumia Satellite receiver ya Data service kupokea matangazo ya TV

  Dishes zinaweza kuingiliana bila shida yoyote as long as all are receiving from Satellite
  lakini receivers are used on specific roles

  ICT Videos | ICT Video training, Softwares & Web services
   
 3. Mlendamboga

  Mlendamboga JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2013
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Siyo kweli mimi natumia internet kupitia satelite receiver ya tv aina ya media com DVB ni mautundu tu kupitia tundu la data cable limeungwa na maujanja mengine napata vizuri tena speed ya kiberenge, natumia net toka marekani , nimefunga kadish ka super spot, kwa ufupi inawezekana na inafanya kazi mie natumia kwa biashara
   
 4. d

  deecharity JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2013
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  umefanyaje tujuze.
   
 5. Aadilu

  Aadilu JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2013
  Joined: Mar 20, 2013
  Messages: 631
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 60
  Ukimwaga hayo mautaalam hapa nitakuona km Obama. tupatie vitu
   
 6. Mlendamboga

  Mlendamboga JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2013
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  kuna mtu alikuja ofisini kwangu akaniambia hilo deal, na kwakuwa nilikuwa natumia zamani dish la iWay ni ilikuwa ghali, nikakubaliana naye anifanyie hayo mambo, akanielekeza nikanunue receiver ya Media com kama nilivyoeleza hapo awali pamoja na dish dogo then akafanya setting kwa kuua baadhi ya vitu ya receiver na hatimaye kupitia eneo la data cable nikaunganishiwa na computer yangu kama vile tunavyofunga projector, mambo yakawa hewani labda nitakachofanya ni kurejerea namba zake yule bwana then niwawekee muendelee naye! ila net inafanya kazi vizuri sana
   
 7. C

  Code 47 Member

  #7
  Nov 13, 2013
  Joined: Oct 24, 2013
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  wakuu nahitaji kujuzwa zaidi je naweza kutumia dish la dstv lkn nikatumia receiver nyingine kupata connectivity ya internet?
   
 8. darasa7

  darasa7 JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2013
  Joined: Sep 29, 2013
  Messages: 397
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Arafu unalipia wapi hiyo internet.jamani msije mkatuunganishia wiki moja ikazima mkatukimbia
   
 9. C

  Chink Member

  #9
  Nov 14, 2013
  Joined: Nov 24, 2012
  Messages: 67
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 15
  Mwaga maujanja kaka mkubwa kama tuku PM sema
   
 10. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2013
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hawa tume ya mawasiliano walisema kuwa hivihivi vin'gamuzi vyetu vinaweza kutumika kama source ya internet, lakini mpaka leo hakuna hata tv moja ya kitanzania inayoonesha hata epg tu. Kwahiyo inawezekana hiyo ipo ila kwa nchi zilizoendelea.
   
 11. C

  Code 47 Member

  #11
  Nov 14, 2013
  Joined: Oct 24, 2013
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hizi ni baadhi ya Decoders ambazo unaweza kutumia..
  HITV Decoder • Strong Decoder
  • DSTV Decoder
  • Mytv Decoder
  . DAARSAT Decoder
  . TRENDTV Decoder
  . Multichoice TV Decoder
  Startime Decoder
   
 12. C

  Code 47 Member

  #12
  Nov 14, 2013
  Joined: Oct 24, 2013
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  dstv decoder
  myt decoder
  daarsst decoder
  trendtv decoder
  multchoice tv decoder
  startime decoder
   
Loading...