Nidhamu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ ) hakika ni ya kutukuka

Nidamu gani ya woga wa kijinga wa kupelekeshwa na mwanasiasa mmoja ambae hata kupiga push up kumi hawezi?
 
Tuhuma kuwa Rais Magufuli analindwa na kikosi toka Rwanda ni aibu kwetu ...lazima msemaji wa serikali atoke hadharani...juu ya hili.
Vyombo vya ulinzi haviwezi kubali hii aibu ....Rais na amiri jeshi...mkuu kulindwa na wageni ?????? Tumekosa watu ?

Kingine kwanini rais hajiamini namna hii mbele ya jeshi anaogopa nini ...au kwakuwa sio raia ....alikuwa anaita askari Ikulu kuwapa nyota ...baada ya majenerali kumwambia sio utaratibu aende chuoni kwao ..bado anaogopa kawaita uwanja wa...mpira shame ..shame ..shame .....
Hakuna rais duniani ambaye ameshindwa kufika vyuo vya kijeshi kutimiza majukumu yake kama amiri jeshi mkuuu,Hiii ni aibuuu
Aibu
Aibu

Unajuwa na kitu cha aibu sana kuandika maneno mazito kama haya kama huna ushahidi, Ni bora ukakaa kimya badala ya kuandika vitu vya uongo mchana kweupe. Tunao Askari wetu wenye nidhamu ya hali juuu sana zaidi ya ufikiriavyo. Kwenda chuoni au kutokwenda ni swala la kupanga ni kuchague, nakuombe ufute kabisa uzi wako huo.
 
Waulize huko kigamboni na maeneo wanayokaa karibu na kambi za Jeshi watakusimlia acha kukariri au kukaririshwa!!!La Tundu Lissu limekushinda umerukia hili nalo litakushinda!!!!!
Hivi mkuu unaamini wale waliopiga risasi Tundu Lissu ni askari wa TPDF?
 
Jamaa wako viti sana kinidhamu ukilinganisha na vitengo vingine
 
Back
Top Bottom