NIDA yatoa Salam za Kristimas na Mwaka Mpya 2020 kwa Watanzania

Mpekuzi Tanzania

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
588
911
IMG-20191224-WA0101.jpg
 
Hivi simu card zinazimwa tarehe 31? au lini hawa jamaa wapo slow kweli bibi zetu vijijini wemeshapata namba kweli? nina wasiwasi bado
 
Hawa hawatakiwi hata kutoa salamu hizi, wameshindwa kutengeneza vitambulisho badala yake wanasajili laini makampuni ya simu, wamenisumbua sana na mpaka sasa sina hio namba yao!
 
Watu wa mara ya kwanza walipotangaza tu walifanikiwa kupata mapema,sasa sijui procedures zinatofautiana vipi,mbona hata Zanzibar kitambulisho haikuchukua hata week
Hivi simu card zinazimwa tarehe 31? au lini hawa jamaa wapo slow kweli bibi zetu vijijini wemeshapata namba kweli? nina wasiwasi bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom