NIDA Wilaya Ya Kasulu Nadhani Wanauzembe Namba Hawajatoa Mwaka Wa Tatu Sasa

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,033
Kichwa cha habari kinaeleza
Hawa Nida ofisi za kasulu nadhani hawana uchungu na wananchi wao.
Asilimia 90. Ya wakazi wa Kasulu hawana namba za utambulisho wa taifa halafu ofisini wao wapo tu hawana majibu yanayoeleweka
Nadhani kuna tatizo kubwa sana kule maana sio kawaida hiyo hali.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sidhani kama kuna uzembe ila nyie waha ndio mmeshindwa kabisa kuwasilisha nyaraka muhimu kama vile vyeti vya kuzaliwa au affidavit
 
Kwa idadi ya wakimbizi huko waha wachunguzwe vizuri sana maana NIDA wasigawe namba hovyo
 
Dar kumejaa warundi kibao wanajiita waha

Madogo wote unaowaona wanatembeza kahawa au wale wapaka kucha rangi wanajiita waha ni warundi, waha wapo kwenye michongo ya kuuza madafu na machungwa
 
Back
Top Bottom