NIDA wataniua kwa presha. Nimeamua nipeleke godoro nikalale ofisini kwao hadi wanipe namba yangu ya kitambulisho

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,927
28,360
Wakuu,

Hapa mawazo ni mengi sana, mwaka wa tatu huu toka nimejiandikisha lakini mambo hayaeleweki, nikiangalia line wanasema zitafungwa huku nikiuliza NIDA naambiwa namba nisubiri bado.

Hati ya kusafiria wamesema hazitotumika tena ifikapo 31 mwezi huu, sasa mambo ndio kichwani hayaeleweki.

Msinicheke jamaa wasumbufu hawa sasa nahamishia makazi ofisini kwao hadi kieleweke.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii ID Verification Portal nikiingiza details zangu haileti matokeo na kunitaka nifike nilipojiandikisha

Nimejiandikisha zaidi ya mwezi na nipo mbali kikazi nilipojiandikisha

Hii id verification portal inafanya kazi kweli?
 
Software za wabongo ni pasua kichwa huwezi amini website ya nida haiko hewani zaidi ya wiki 3 sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom