NIDA wanapataje hela za kutoa gawio kwa serikali?

Hawa hawafanyi biashara. Ila wanatoa ziada ya fedha zilizopatikana kutokana na tizo mbalimbali wakati wanatoa huduma.
Walikuwa huru sana ndio maana walikuwa najenga majengo makubwa makubwa. Na matumizi ya ovyo ovyo kwa sababu walikuwa hawapeleki ziada hazina.
Mkuu, hivi kweli tozo pekee ndio zinaweza fikia fedha nyingi kiasi cha kuwawezesha kutoa gawio la 5.38 Billions..!!??
Hii inanipa wasiwasi kwamba sasa kama hivyo ndivyo, basi OSHA kazi yao sio kutowa elimu ya Usalama na Afya sehemu za kazi, bali imebadilika na kuwa idara ya faini kwa makosa ya Usalama na Afya sehemu za kazi.
Mkuu, hata kama OSHA wanatowa mafunzo kwa malipo ya watahiniwa, lakini bado naona hicho kiasi bado ni kikubwa sana
 
Hizi pesa ni reserves za miaka mingi, ndizo zizilipelekwa bank kuu 2016, na sasa zimehalalishwa kuchukuliwa bila kulipwa
Mkuu....
Naona sasa wewe ndie hasa unataka kuongeza taharuki.
Inamaana yale maneno ya mwamba pale chamwino kwamba 2018 alipokea gawio na sasa 2019 kapokea gawio, Je maneni yale niuongo..??
 
Mkuu, hivi kweli tozo pekee ndio zinaweza fikia fedha nyingi kiasi cha kuwawezesha kutoa gawio la 5.38 Billions..!!??
Hii inanipa wasiwasi kwamba sasa kama hivyo ndivyo, basi OSHA kazi yao sio kutowa elimu ya Usalama na Afya sehemu za kazi, bali imebadilika na kuwa idara ya faini kwa makosa ya Usalama na Afya sehemu za kazi.
Mkuu, hata kama OSHA wanatowa mafunzo kwa malipo ya watahiniwa, lakini bado naona hicho kiasi bado ni kikubwa sana
Je unajua kazi za OSHA au unataka kubisha tu. Ninazozijua Mimi ni kuna Registration fees( Inategemea na mtaji wa kampuni). Training fees ambayo ni mandatory kwa kila kampuni( katika kila wafanyakazi 13 anatoka mmoja, train za fire, electrical defects, health and safety, first aid na kadhalika) laki 500,0000 kwa kila mfanyakazi mmoja anae attend. Agronomic fees( unalipa kampuni kila mwaka kwa ajiri ya inspection ya OSHA mfano mtaji ukiwa milioni 200 basi wastani wake ni laki 9 hadi milioni 1 kwa mwaka. Penalties hapo ndo usiseme. Kwa hiyo OSHA wana hela kwelikweli.
 
Mkuu, hivi kweli tozo pekee ndio zinaweza fikia fedha nyingi kiasi cha kuwawezesha kutoa gawio la 5.38 Billions..!!??
Hii inanipa wasiwasi kwamba sasa kama hivyo ndivyo, basi OSHA kazi yao sio kutowa elimu ya Usalama na Afya sehemu za kazi, bali imebadilika na kuwa idara ya faini kwa makosa ya Usalama na Afya sehemu za kazi.
Mkuu, hata kama OSHA wanatowa mafunzo kwa malipo ya watahiniwa, lakini bado naona hicho kiasi bado ni kikubwa sana
Utasikia na trafiki wanatakiwa kuleta gawio
 
All TRUTH nida ina sehemu ya kukusanya pesa tena kwa kiwango kikubwa tu, ndio maana nida imethubutu kujenga mijengo yake ya kutisha ktk kutoa huduma zake.

Moja ya mapato makubwa ya nida, ni kukusanya pesa ambayo ni kwa ajili ya marekebisho pamoja na kurudisha ID's zilizopotea, na hapo sio chin ya elfu 20 kwa MTU mmoja,
 
Wanasiasa huwa wanadhani hatuna kabisa uwezo wa kufikiri
Ndivyo wanavyotuona.
tapatalk_1573980728131.jpeg
 
Mi nadhani labda ni ile hela ya affidavit ya cheti Cha kuzaliwa,watu wengi hawana kwa hiyo ile,Ada ya elfu kumi ndo hizo zinatolewa,kwa ufahamu wangu
Umechanganya na RITA . Labda ni ile mia mia ya number za kitambulisho,na nyingine wameomba omba ili kumfurahisha mtukufu
 
Back
Top Bottom