NIDA wameandika mimi ni Female wakati mimi ni Male

Wana JF baada ya kuhangaika kutafuta kitambulisho cha Taifa hatimaye leo nimefanikiwa kupata copy ya kitambulisho.
Baada ya kufika nyumbani na kuanza kuangalia copy hiyo kwenye sehemu ya Jinsi/ Sex nikakuta wameandika F badala ya M.
Nikiwafuata nitarekebishiwa au hadi nianze kujaza fomu ili nipate kingine.
Maoni yenu kwa wenye ufahamu wa hilo.
Achana nao usipoteze muda wako bure kwani kupata kingine itakuchukua hadi mwezi wa kumi, nakushauri badilisha mavazi tu uvae ya kike mambo yaishe.
 
Aahahahah haki leo nakaribia kuitwa chizi wa kucheka.
Haki leo naona kwangu ni CHEKA DAY. Yaaani kila kona nakutana na vituko tu
Aiseeh!!
"Ety kubadili jinsia ni rahisi zaidi ya id...." Kweli acha bangi ziwe illegal tu, maana hivi mnavuta kwa vificho na mnaweuka hivi!! Zikianzishwa bar za bangi...si mtavaa chupi kichwani ahahahah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe haujamuelewa umesoma kama alivyoandika bila kufikiri zaidi, anachotaka kumwambia mleta hoja ni sisi tutamsaidiaje wakati hilo jambo angelimaliza yeye na NIDA.
Kama anaweza kumsaidia kubadili msaidie badala ya kucheka.
 
Wana JF baada ya kuhangaika kutafuta kitambulisho cha Taifa hatimaye leo nimefanikiwa kupata copy ya kitambulisho.

Baada ya kufika nyumbani na kuanza kuangalia copy hiyo kwenye sehemu ya Jinsi/ Sex nikakuta wameandika F badala ya M.

Nikiwafuata nitarekebishiwa au hadi nianze kujaza fomu ili nipate kingine.

Maoni yenu kwa wenye ufahamu wa hilo.
hahahaha pole sana watendaji wa kibongo ni hopeless kabisa ndo kama wale madaktari waliomfanyia operation ya kichwa mtu mwenye tatizo la mguu
 
Kabla ya kukichukua hapo NIDA ungeki confirm kama details zako ziko sahihi!

Ova
 
Mkuu sasa si uende huko wakakurekebishie?

Maybe officer aliyekuhudumia hakuamini kama wewe ni male maana vijana wa siku hizi mnasuka,mnapenda kujilemba kama female,mnavaa nguo za kike,unakuta mtu kavaa unapata shida kujua kama ni male
Kwanza yeye mwenyewe keshahakikisha kama kengele zake bado zipo?maana kadri siku zinavyoenda binadamu dume anazidi kutoweka na wale waliokuwepo baadhi wanasaliti jinsia zao makusudi kabisa.
 
Aahahahah haki leo nakaribia kuitwa chizi wa kucheka.

Haki leo naona kwangu ni CHEKA DAY. Yaaani kila kona nakutana na vituko tu
Aiseeh!!

"Ety kubadili jinsia ni rahisi zaidi ya id...." Kweli acha bangi ziwe illegal tu, maana hivi mnavuta kwa vificho na mnaweuka hivi!! Zikianzishwa bar za bangi...si mtavaa chupi kichwani ahahahah.

Sent using Jamii Forums mobile app
Napita tu, kubadilisha jins ni rahisi kuliko I'd? Unbelievable
 
Wana JF baada ya kuhangaika kutafuta kitambulisho cha Taifa hatimaye leo nimefanikiwa kupata copy ya kitambulisho.

Baada ya kufika nyumbani na kuanza kuangalia copy hiyo kwenye sehemu ya Jinsi/ Sex nikakuta wameandika F badala ya M.

Nikiwafuata nitarekebishiwa au hadi nianze kujaza fomu ili nipate kingine.

Maoni yenu kwa wenye ufahamu wa hilo.
Jichek vzr
 
Kwanza yeye mwenyewe keshahakikisha kama kengele zake bado zipo?maana kadri siku zinavyoenda binadamu dume anazidi kutoweka na wale waliokuwepo baadhi wanasaliti jinsia zao makusudi kabisa.
😁😁😁😁😁
 
Ukifika NIDA utawaeleza utakuinyesha offisi ya bosi wao atacheck kwenye computer kama wewe ndie uliekosea au wao walikosea kama ni wewe ulikosea kujaza form utakubadilishia kwa elfu 20 utalipia bank crdb watakupa controll namba yakulipia kama ni wao walikosea watakubadilishia bure utakuja kurudi kuchukuwa tena baada ya mwezi
 
Back
Top Bottom