NIDA wameandika mimi ni Female wakati mimi ni Male

Aahahahah haki leo nakaribia kuitwa chizi wa kucheka.

Haki leo naona kwangu ni CHEKA DAY. Yaaani kila kona nakutana na vituko tu
Aiseeh!!

"Ety kubadili jinsia ni rahisi zaidi ya id...." Kweli acha bangi ziwe illegal tu, maana hivi mnavuta kwa vificho na mnaweuka hivi!! Zikianzishwa bar za bangi...si mtavaa chupi kichwani ahahahah.
Kubadilisha kitambulisho itachukua muda mrefu ni bora uwaambie wakubadilishe na jinsia, ni rahisi zaidi kubadilisha jinsia kuliko kupata kitambulisho kipya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andaa 17000 ya kurenew hicho kitambulisho....binafsi hapa kuna siku nitaenda huko maana kwenye jina langu kuna herufi hawajaziweka na kwenye fomu nilizijaza...Sijui wanakwama wapi hawa watu! Yaani mtu unashindwa kukopi details kutoka kwenye hard copy kwenda kwenye softy copy! Hata hivyo sishangai maana hapa ni Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sahihi wasumbufu sana mimi kuna herufi pia zimekosewa nilienda ofisini kwao kuomba krekebishiwa toka mwaka juzi,,wiki iliyopita nikaenda tena wakaniambia nitoe 20000/= napo kukipata ni mlolongo maana vinatengenezwa makao makuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia nadhani umeathirika kisaikolojia,inawezekana ukiwa mdogo ulikuwa unashuhudia mama yako akifanya hayo matendo,ndio maana unaumwa ugonjwa wa kuropoka,unahitaji msaada wa haraka sana wa kisaikolojia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta mtoa mada alijaza fomu mwenyewe kuwa ni Female,na kwa vile viongozi wetu wamesoma shule za kata wakajaza kama ilivyo

Sent by Diaspora
 
You'll be better off dressing in drag like RuPaul 'cause its next to impossible to obtain any replacement ID from NIDA.
 
Acha kuhangaika Mkuu,ina maana huwaamini na unataka kubishana na Wataalamu Wetu?
Wana JF baada ya kuhangaika kutafuta kitambulisho cha Taifa hatimaye leo nimefanikiwa kupata copy ya kitambulisho.

Baada ya kufika nyumbani na kuanza kuangalia copy hiyo kwenye sehemu ya Jinsi/ Sex nikakuta wameandika F badala ya M.

Nikiwafuata nitarekebishiwa au hadi nianze kujaza fomu ili nipate kingine.

Maoni yenu kwa wenye ufahamu wa hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila nikijalibu kugoogle kitambulisho cha nida mbona akiji kwenye skrin yangu angalau nipate kuona ivo jinsi kilivyo mana sijawai kukiona
 
"Ety kubadili jinsia ni rahisi zaidi ya id...." Kweli acha bangi ziwe illegal tu, maana hivi mnavuta kwa vificho na mnaweuka hivi!! Zikianzishwa bar za bangi...si mtavaa chupi kichwani ahahahah.
🤣
Mkuu watumiaji sasa hivi wanachekelea kua wameambiwa kitu ya "Njombe" ndio noma zaidi kuliko ile kitu ya Arachuga.
 
Wana JF baada ya kuhangaika kutafuta kitambulisho cha Taifa hatimaye leo nimefanikiwa kupata copy ya kitambulisho.

Baada ya kufika nyumbani na kuanza kuangalia copy hiyo kwenye sehemu ya Jinsi/ Sex nikakuta wameandika F badala ya M.

Nikiwafuata nitarekebishiwa au hadi nianze kujaza fomu ili nipate kingine.

Maoni yenu kwa wenye ufahamu wa hilo.
Mkuu icho kinabadilishwa tu , wewe fika ofc yoyote ya NIDA utapatiwa msaada zaidi
 
Back
Top Bottom