NIDA toeni elimu jinsi ya kupata vitambulisho vya uraia. Imefikia hatua ya kuhusisha malipo

kwani hicho kitambulisho kinaliwa?,mimi kwakweli huo mda wa nenda rudi sina na wala sina mpango huo
 
Hiyo buku 5 ya kiapo inashida gani? Wakil ale wapi na mhuri analipia kwa mwaka
Lipa tu ndo kipato cha mwanashelia hiyo
 
Kwahiyo uende ofisini kwa mwanasheria akuandikie kiapo, halafu akupe bure? Garama za kiapo sio za kitambulisho ni vitu viwili tofauti.

Unasema NIDA watoe elimu kuhusiana na nini sasa? Kweli NIDA ni wasumbufu lakini taratibu zinapatikana ofisi zao ukifika.
 
Back
Top Bottom