Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Wakuu amani iwe kwenu.
Leo katika hali ya kustaajabisha kwenye taarifa ya habari Azam Tv nimeshuhudia NIDA wakikabidhiwa vifaa kitoka NEC ili kuwawezesha kusajili wananchi vitambulisho vya Taifa.
Ikumbukwe NIDA walitumia bajeti ya takriban bilioni 179 kusajili wananchi milioni 2.Huku NEC wakutumia takriban bilioni 70 kusajili wapiga kurazaidi ya milioni 22.Najiuliza maswali yafuatayo;
1.Kipindi Raisi Magufuli (PhD) yalijitokeza magenge yakipinga na kutoa tuhuma Amekurupuka!..ooh mara NIDA wana vifaa bora!...oohh mara NIDA wametumbuliwa sababu hawakuteuliwa na Rais!....Ooh mara Raisi ataliingiza taifa hasara!...Ooh mara Raisi ana visasi!...
2.Je kwa bajeti ya Bil.179 wameshindwaje kuwa na vifaa kutosheleza kusajili wananchi wote kwa wakati?
3.Baya zaidi kuna watu walitoa tuhuma kuwa Oohh DG wa NIDA alikuwa Ukawa!...
Lazima tukubali Raisi wa Nchi ana taarifa nyingi kuliko mwananchi yeyote.Tumuunge mkono Raisi Magufuli (PhD)
Nawasilisha.