Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 28,431
- 45,690
Hakuna mtu anazuia mtu kula.Wale ila wafanye kazi ya kuonekana hasa kila mwananchi aone
Hilo eneo la integration walifanye upesi kuunga idara zote muhimu zinazohudumia wananchi zinazohitaji utambulisho
Kuna wengi sana vitambulisho imekuwa hadithi tangu waanze kuimba mpaka leo hawajapata halafu wanataka kutuaminisha mengine
Hawawezi kitu hao na kula ni wajibu wao