Kuna jamaa angu last week tu hapa aliambiwa mpaka alitoe kakitu TZS 30,000/= ndo ataipata, kweli kwa kua alikua na shida nayo alitoa akaipata ndani ya siku 3 tu! DaahNi mwaka sasa unaisha sina kitambulisho wala Namba ya Kitambulisho cha taifa suala linalo nikwamisha hata kupata kibarua cha kufanya,kazi ni kupigwa dana dana kila nnapofika ofisi za NIDA..Ni vizuri mkajitathimini!!
Mimi nmeandikisha toka 2017 huko nikiwa Mbeya lakini mpaka mwaka huu mwanzoni nikiwa Mbeya nmefatilia kitambulisho napigwa kalenda, nikaamua kuhama tu! Wakae nacho basi wataombea mikopo benki, Pumbafu zao!Mimi nimejiandikisha 2019 namba nimepata kitambulisho nimefuatilia mpaka nimechoka nilienda juzi nikaambiwa mpaka July aisee nimepitwa na fursa nzuri Sana kisa hicho kitambulisho
Dah basi kumbe shida iko kwa watendaji mm nmefuatilia ila sioni hata dalili mkuuKuna jamaa angu last week tu hapa aliambiwa mpaka alitoe kakitu TZS 30,000/= ndo ataipata, kweli kwa kua alikua na shida nayo alitoa akaipata ndani ya siku 3 tu! Daah
Mwingine naye alipigwa 50k akaipata ndani ya siku 5 tu toka afanikishe process zote za kujaza form na ku submit..
Kumbe hawa WAPUUZI wanaweza kufanya mambo haraka haraka tu na kuisha ila mamlaka zinawaangalia tu sijui ndo zinashirikiana nao kwenye madili haramu!
Wanaboa sanaa ila baadhi ya mikoa wapo fasta kama hapa iringaYani mm mpaka naishi na manung'uniko juu yao aisee
Chukulia hukohukoWanaboa sanaa ila baadhi ya mikoa wapo fasta kama hapa iringa