Nicolae Ceauşescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Firing Squad)

Ndio maana wanajijengea hadi International airport majumbani kwao.
Au wanaweza kujenga branch kubwa ya Bank inayoweza kuhudumia wateja 1000 kwa siku wakati hapo wapo 30

kweli kabisa mkuu yani ukiwa dictator lazima uwe na vitabia vya ajabu,kuna dictator fulani alipeleka railway kijijini kwao
 
Hapana, kwa eidd nitasimama tofauti Sana na wewe ki mtizamo.

Amini nakwambia eidd alikua Bora mara Mia kuliko;

-Nkulunzinza.
-kagame.
-Museveni.
-Mgombea/gari la mkaa.

Wewe ni mliotekwa na propaganda za wazungu.

Amin alikua na maono ya mbali Sana, aliamua kuwaondoa wahindi mitaa ya Kampala ili awaruhusu raia wazawa wamiliki uchumi wao(niambie mgombea alishawahi hata kuwatishia wachina waondoke? Wachina wanaichezea tz watakavyo)

Amin alikua na mpango wa kuiunganisha Africa iwe moja, Yeye na Gaddafi ndio walikua na mipango hiyo kwa dhati kabisa.

Jaribu kufuatilia speech za Amin usikilize mtazamo wake, usikae na kusikiliza propaganda za tanzania , Mambo ya Amin kula nyama za watu, usiamini.

well said Sir
 
Jamaa alikua anajipenda sana huyu, mpaka anauliwa wanaenda nyimbani kwake walikuta misuti mipyaa ya bei mbaya ipo kabatini haijavaliwa kabisa. Alipenda kuweka picha zake kila kona ya nchi, alikua Dictator aliyekuwa na cult of personality kubwa sana na alipinduliwa kimasihara tu hata hakuamini maana alikua anahutubia wananchi kamampindua hapo hapo.
Utumiaji wako wa neno "cult of personality" umenifanya niamini wewe ni mtu unaependa history na unafahamu mengi pia kuhusu modern European history
 
Kuna baadhi ya binadamu sio watu wazuri pale wanapotaka kuiba rasilimali za nchi yako.

Lazima tu wakuundie kamati ya roho mbaya na kukuita majina ya kishetani. Mabeberu sio watu wazuri hata kidogo mkuu.
Huo ndiyo ulikuwa mwanzo wa mageuzi Ulaya Magharibi , na kuanza kwa siasa za vyama vingi katika nchi zilizokuwa zinaunga juhudi za USSR (ukomunisti)
 
Jamaa alikua anajipenda sana huyu, mpaka anauliwa wanaenda nyimbani kwake walikuta misuti mipyaa ya bei mbaya ipo kabatini haijavaliwa kabisa. Alipenda kuweka picha zake kila kona ya nchi, alikua Dictator aliyekuwa na cult of personality kubwa sana na alipinduliwa kimasihara tu hata hakuamini maana alikua anahutubia wananchi kamampindua hapo hapo.
Upo vizuri
 

Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom