Nicodemas Maganga, Mbunge wa Mbogwe ataka Kisukuma kiwe Lugha ya Biashara Tanzania

Kasema kisukuma kwanza hoja ya kijinga kuwahi kutokea haijalishi kihaya, kigogo sijui kimakonde hayo mawazo kaleta msukuma ndio ujue upeo wao wa kuwaza wana ulimbukeni fulani hasa wakiwa na madaraka kwa mara ya kwanza walipata madaraka kama miaka 5 hapo Dar tu mtu akataka kujifanya Mungu mtu lakini wana CCM wamejifunza hawatarudia tena, wao wapige kura tu madaraka hakuna.
Huyo CDF ni mhaya...
Nyie mtakufa na kiziba cha roho wasukuma ndio kwanza wanaongzeka..
Wasukuma wangekuwa na ukabila nusu ya walio nao wahaya na wachaga nahisi mngehama nchi.
Kaangalie video acha kusimuliwa kasema lugha yeyote katolea mfano kisukuma na nyie pendekezeni zenu.
 
Kwani wewe baba yako au babu yako hawajawahi kunywa gongo??
Nimeandika kuhusiana na baadhi hoja zinazotolewa katika vikao. Badala ya kujadili mambo yanayowagusa wananchi, baadhi ya Wabunge hutumia muda huo kujadili mambo yasiyo na tija. Hilo la kunywa au kutokunywa gongo halihusiani na niliyoandika.
 
Nimeandika kuhusiana na baadhi hoja zinazotolewa katika vikao. Badala ya kujadili mambo yanayowagusa wananchi, baadhi ya Wabunge hutumia muda huo kujadili mambo yasiyo na tija. Hilo la kunywa au kutokunywa gongo halihusiani na niliyoandika.
Nami nasema Tanzania tunapoteza mapato kwa kuzuia kinywaji cha gongo pamoja na ulimaji wa bangi.
 
Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kwenye kabila moja hapa nchini ikiwemo Kisukuma kwa ajili ya kuiweka kwenye system itakayopelekea Wachina ama Wazungu watakapokuja nchini waisomee na itumike katika biashara.



mbogwe%202.jpg


Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 11, 2022, bungeni jijini Dodoma na kuongeza kuwa waangalie mifano kutoka mataifa mengine yanayotumia lugha zao hadi kwenye vyombo vya habari.

"Mimi ni Msukuma lugha yangu mkiipa nafasi mkaweka kwenye system, Kisukuma kikiingia kwenye computer Wachina watakuja kujifunza hapa, hata Wazungu wakija kwenye migodi yetu wakakuta Askari wanazungumza Kisukuma tu hiyo hali itawafanya wakisomee, lazima tukae tufikirie tunawachenga vipi kwenye huu ulimwengu wa kutafuta pesa," amesema Mbunge Maganga
Alikuwa akimaanisha nini 'kuwachenga'?
 
Back
Top Bottom